siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

    Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL. Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL. Picha Mpya ya Mwanaume Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
  2. JamiiForums Tanzania Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  3. JamiiForums Tanzania Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga

    Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana. Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  5. JamiiForums Tanzania BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

    Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni Acheni utoto.
  6. JamiiForums Tanzania Kisa Ebola, Kikosi cha DR Congo cha Kombe la Dunia kukaa Karantini kwa Siku 21 ili kuruhusiwa kuingia Marekani

    Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi kwa furaha na mkeo/mumeo Siku zote za maisha yenu.

    JINSI YA KUISHI KWA FURAHA NA MKEO/MMEO SIKU ZOTE ZA MAISHA YENU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba/Mume. 1. Nitaendelea kutoa elimu. Sipo hapa kumbadilisha mtu anayeishi maisha anayoyahitaji. 2. Nipo hapa kwa ajili ya wenye uhitaji wa kuishi maisha ya furaha, kuishi kwa amani wao na...
  8. JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  9. JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgomo waendelea kwa siku ya pili licha Dezeli kushushwa kwa Ksh 38.60 (Tsh. 202.51). Madereva wasitisha mgomo kwa siku Saba wazungumze na Serikali

    Watu 4 wafariki dunia kufutia maandamano ya kupinga bei ya mafuta yaliyofanyika jana May 18, 2026, huku mgomo wa magari(matatu) ukiendelea kwa siku ya pili licha ya Diseli kushushwa kwa Tsh. 202.51 (KSH 10.06) na kuwa Tsh. 4687.47 (KSH 323.86) huku Petrol ikiendelea kuwa Tsh. 4312.85 (KSH...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au Tanzania watu wengi wanaona kumuuliza mtu “unaitwa nani?” siku ya kwanza ni kama umemtongoza?

    Unaweza kukutana na mtu mkasalimiana, mkapiga story dakika 20, mkacheka kabisa… lakini hakuna anayesema jina lake. Mpaka mnaombana namba ndipo mchezo unaanza: “Ni-save nani?” Kuna ile culture ya kuzunguka sana kabla ya kuingia kwenye personal details. Watu wanaogopa kuonekana too direct au...
  12. JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Tawire tawire Aisee kuna kamchezo kameibuka kanakofanywa na mademu siku hizi, ukiomba namba unapewa kiroho safi chaaaaaap, ila ukimtafuta baaadae kwa kumpigia simu haipokelewi, ukimtext hajibu bac atakufanyia hivyo mpaka utaeliminate namba yake na kughairi mpango na huwa wanafanya hivo...
  13. JamiiForums Tanzania Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na kuchemsha) Tambi Mboga za majani za kuunga na nyanya Dagaa (same, kukaanga na kuunga) Kuku (wa...
  14. JamiiForums Tanzania ✈️ Watu wengi wanacheza Aviator kila siku… lakini wachache sana wanajua strategy ya kucheza smart 🔥

    Tatizo sio kucheza pekee, tatizo ni: ❌ kukosa bankroll management ❌ greed ❌ chasing losses ❌ kucheza bila strategy Ndiyo maana watu wengi wanaishia kuliwa kila siku bila kuelewa wanakosea wapi. Katika blog hii mpya ya Chuosmart tumeelezea: ✅ Best Aviator Strategies ✅ Safe Cashout Tips ✅ Low...
  15. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje siku uliyofumania/ uliyofumaniwa?

    Habari zenu wakuu.. Poleni na majukumu na harakati za hapa na pale, gharama za maisha zinapanda ila tunapanda nazo hakuna kukata tamaa. Kuna visa kama viwili viliwahi kunitokea back in the days vya kufumaniwa ambavyo sikuwahi kumueleza yeyote. Cha kwanza kilikuwa hivi. Kuna mwaka nilipata...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  18. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi yamekuwa “Trial Version”?

    Hivi siku hizi imekaaje kwenye mahusiano? Mnakutana, mnazoeana haraka, mnachat sana, ndani ya muda mfupi tayari mpo relationship. Baada ya hapo mkifanya mapenzi mara ya kwanza tu, ghafla kila mtu anaanza kupotea kimya kimya. Hakuna ugomvi mkubwa, hakuna drama hata… unaona tu mawasiliano...
  19. JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Abdul yuko wapi siku hizi?

    Ni muda mrefu huyu kijana hajaonekana au kusikika, nini kimempata? Au ameshamaliza kazi yake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…