Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
CCM tusije tukanasa kwenye mtego ambao Chadema wanauandaa.Wao wanataka wapiga kura wasijitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.
Lakini wanataka kuhamasisha maandamano nchi nzima kama kampeni ya kuzuia uchaguzi hiyo siku ya uchaguzi.
Ikitokea vyombo vya ulinzi na usalama vimesambazwa kuzuia...
Kila mwaka mnamo Aprili 1, Siku ya Kimataifa ya Ndege hutukumbusha jukumu muhimu la ndege katika kudumisha usawa wa ikolojia. Ndege huchangia afya ya mfumo wa ikolojia, udhibiti wa wadudu na kuzuia magonjwa.
"Ndege ni muhimu kwa kudumisha usawa wa ikolojia na usalama, na wanatekeleza majukumu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu atachezea Mkong'oto wa goli zisizopungua 4 a.k.a 4R za mama !
Waarabu wakitaka hiyo mechi washinde...
GSM mungu anakuona
Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM
Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga.
Kufumba na kufumbua anarudi ofisini anakutana na barua ya Thank You
Return to sender
Coastal anaenda kukutana na Yanga bila...
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari.
Kuna watu hawakukubaliana...
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga.
Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga.
Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
Kwa mfano mmepishana kauli, mkeo akakupandishia sauti hivyo, we ukakasirika, lakini soku zaenda, mkeo haoni kama amekosea na wala haombi msamaha, anakula buyu kama wewe.
Je utajisemesha tu mambo yaendelee kama zaman?
Au utamwambia akuombe msamaha alikukosea?
Au na wewe utakausha tu hadi...
Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali.
Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira.
Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani.
Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au...
Baada ya malamiko ya Yanga kutajwa kupokelewa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), Mwanasheria mbobezi Aloyce Komba anasema Yanga wanapaswa kuwasilisha ndani ya siku 10 rufaa yao rasmi ili kesi iwe na uhai.
Pia, Soma: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa...
Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF.
Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye uzi huu 👇👇...
DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji
Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza Neuroanuwai na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs)”. Kaulimbiu hii inasisitiza umuhimu...
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔
Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile.
Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa.
Kuna mjadala kuhusu uhusiano kati ya tarehe 1 Aprili na ujinga katika kazi ya Geoffrey Chaucer, The Canterbury Tales (1392)...
Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi
Mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.