siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa siku hizi wengi wao hawabebi kanga wala kitambaa cha kujifutia wanapokwenda faragha na wenza wao

    Mambo yanakwenda kasi sana! Siku hizi wanawake waliowengi hawabebi vitambaa wala kanga za kujifutia baada ya kufanya mapenzi! Sielewi wamepatwa na nini! Mwanamke wa dizaini hii nilikuwa nikikutana naye asipokuwa na kanga, basi Mimi nilikuwa najifutia chupi yake! Sasa siku hizi hali imekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu

    Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) linaitumia siku ya Desemba 3 kama siku ya kimataifa ya Watu wenye Ulemavu Siku hii iliazimiwa mwaka 1992 ikiwa ni siku ya kuangalia namna ya kuwawezesha walemavu na kuwashirikisha kwenye mambo ya kijamii UNESCO...
  3. JamiiForums Tanzania Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO siku hizi kuna mgao wa kimya kimya?

    Yani siku hizi umeme hautabiliki huku Bunju, ikipita siku haujakatika basi ni ajabu. Wataka asubuhi warudishe saa 8 au 11, au watakata saa tano warudishe saa 10. Hii Tanzania ya Viwanda itapatikana kwa umeme wa namna hii? Miezi kadhaa nyuma mlikuwa mkikata umeme mkiulizwa mnasema eti...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Christmas bado siku 23

    Yewomi eeeeh, yewomi eeeeh, yewomi eeeeh Christmas cha mshikha. Wachaga tutafute hela aisee muda wa kurudi kwetu umefika, nyama choma na bia lazima viwepo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kukodi vifaa hivi kwa siku moja tu: Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama

    Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
  7. JamiiForums Tanzania Wanasiasa kama siku nyingine mkijua hamjajiandaa kuzungumza na Watanzania kupitia Press, msiwe mnatusumbua

    1. Mtu ni Mwanasheria kabisa lakini Kuzungumza mbele ya Press huwezi na unabaki Kuhangaika hangaika tu. 2. Hueleweki hata unataka kusema nini mbele ya Press na unabaki Kuzunguka zunguka tu. 3. Ujengaji wako wa Hoja ni wa Kitoto ambao hata tu katika Midahalo ya Shule za Upili (Secondary) huwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Dada kama huwezi kutengeneza kipato hata cha sh. 500 kwa siku hufai kuwa mshauri, mpenzi, mchumba au mke wa mwanaume yoyote

    Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja, Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke asiyeweza kuwa na mawazo hata ya kujiingizia sh 500 yake japo ya vocha kwa siku au kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rasmi, leo ndio siku ya kuanza kudhulumiwa na Azam TV

    Wakuu, Azam Media wamekua wakijitangaza kua wameshusha Bei ya vifurushi vyao kuanzia leo. Asubuhi hii nimelipia kifurushi Cha 20,000/- ambayo ndio iliyokua 23,000/- lakin nimekuta channels kadhaa hazionyeshi. Baby TV, ESPN1, ESPN2, MBC4, Nickoledion Zote hizi nilikua nazipata kwenye kifurushi...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya UKIMWI Duniani: Ushuhuda wangu

    Tunaitazama dunia katika Angle tofauti tofauti. Bado ni tishio kuu mpaka sasa ulimwenguni. Siku hizi matangazo na campaigns zimepunguzwa sanaa. Wapo walio survive long more than 20 years na ukionyeshwa huwezi watambua kwa macho. Wapo watoto wabichi. Vijana wa mjini wana waita "PISI" kali. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya UKIMWI Duniani: Watu 10,000 hufa kila siku kwa kukosa access ya Huduma za Afya

    Umoja wa Mataifa (UN) umesema Afya ni Haki ya Binadamu lakini watu 10,000 hufa kila siku duniani kwa kukosa Huduma za Afya. Akizungumza kuhusu Siku ya UKIMWI Duniani Mkurugenzi Mkuu wa UN, Antonio Guterres amesema uwekezaji mkubwa unatakiwa ufanywe katika Sekta ya Afya. Mbali na uwepo wa...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

    TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa Kiume anaoga baada ya siku mbili, maji yapo ya kutosha. Hii ni kawaida?

    Wadau huenda labda Mimi ni mshamba. Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga Mimi ninachojua inabidi uoge mara moja kwa ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku mbili zipite Mkoa nilipo ni Mbeya, kwa sasa hali ya hewa kuna jua kali kiaina japo mvua ni hizi zinanyesha mara 2...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Anaejua atusimulie "siku ya kubeba Jenerali" hujumuisha kundi la watu wangapi kwa umbali gani ili kufaulu?

    Kama kuna mwenye ufaham kidogo juu ya mafunzo ya kijeshi atuchambulie! Upi ugumu wa siku ya kubeba jenerali na ipi siri ya kufanikisha zoezi hilo kwa Ufanisi!
  15. JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na jamaa yangu wa siku nyingi, kachoka balaa!

  16. JamiiForums Tanzania Wimbo anaotakiwa Rais Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto

    Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

    Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache? "Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea. Yana ukweli?
  18. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Haji Manara Siku zingine uache Kiherehere cha Kumsifia Mchezaji Mnafiki wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' mwenye Uyanga mno!

    Nilikushangaa sana Wiki hii nzima nilipokuwa kila nikipitia Kurasa zako za Mitandaoni na ukawa unamsifia kwa Mikogo yote huku ukimpamba mno Mchezaji wa Kiungo wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' tena ukimtia Ndimu kabisa ( ukimchochea ) kuwa katika Mechi ya Leo dhidi ya Yanga SC apambane na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii EACOP ambayo hatupati usingizi kwa sababu kila siku tunapigiwa makelele kuihusu imepelekwa kortini

    NGOs zimeenda kortini kupinga ujenzi wa pipeline ya EACOP Uganda-Tanzania pipeline runs into legal challenges Tuesday November 24 2020 Four NGOs claim that the project is yet to conduct an environmental and social impact assessment. IN SUMMARY The NGOs are now seeking a permanent injunction...
  20. JamiiForums Tanzania Los angelitos: Je, siku ukiondoka dunia na watu watakukumbuka kwa lipi...?

    Mates,Moja kati ya maswali ambayo hua najiuliza kila siku ni je ikitokea leo nikaondoka je jamii iliyonizungukai tanikumbuka kwa yapi? Je dunia itanikumbuka kwa lipi/jambo lipi nililoitendea? au ndio nikiondoka watanifukia tu na kunisahau au watabaki wananikumbuka kama mtu niliyefanya kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…