Anaejua atusimulie "siku ya kubeba Jenerali" hujumuisha kundi la watu wangapi kwa umbali gani ili kufaulu?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Kama kuna mwenye ufaham kidogo juu ya mafunzo ya kijeshi atuchambulie!
Upi ugumu wa siku ya kubeba jenerali na ipi siri ya kufanikisha zoezi hilo kwa Ufanisi!
 
Ok, mie naomba kufahamu gharama za kurist mtihani wa kidato Cha nne kuishi pale pale shuleni kuanzia mwezi wa tatu, shule nilihitimu 2013 nataka kurist 2021
 
Hatuandiki,nenda ukayajue.
Ukajifunze kwata moja mpaka 42.
Ukalale kwenye maanga.
 
hamnaga tuition ya depo bro.

hivyo kaa kwa kutulia,endelea kunywa maji mengi.
 
Back
Top Bottom