Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Nakumbuka mimi nilipokuwa na umri 6-13 nilikuwa mkorofi natukana sana watu sichagui mkubwa au mdogo, nilikuwa na matusi hatari na kupenda kurushia watu mawe, pale mtaani wakawa wanamwita mama yangu 'mama mawe'. Hadi watu wazima wakawa waniogopa kwa matusi. Mtu akinichokoza mbona ataisoma namba...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) zilipe shilingi bilioni 30 ndani ya mwezi mmoja.
Dk Ndugulile alitoa agizo hilo jana alipotembelea TTCL na kuzungumza na wajumbe wa Bodi...
Hakuna siku niliumia kama siku JT wa Chelsea kutukosesha UCL kwa kukosa penati ya mwisho dhidi ya Man U ilikuwa 2008 mjini Moscow.
Saivi tungekuwa tunahesabu 2 UCL CUPS
Hebu tiririka mechi gani ilikuuma sana.
Alizaliwa Disemba 30, 1963
Amehudumu akiwa Mkuu wa Idara ya Ujasusi Marekani (CIA) na sasa ndiye Waziri wa Mambo Ya Nje Wa Marekani
Pamoja na kupokea taarifa nyingi kutoka nchi mbalimbali, Mike Pompeo anasifika kwa umakini mkubwa kwenye maamuzi yake ambayo huzingatia uchunguzi wa kina!
Kwa...
Kama kuna jambo linalolipa ukipatia ni game development. Basi mwaka 2012 kijana mmoja wa Vietnam aliyekuwa na umri wa miaka 25, akiwa kaanzisha kampuni yake ya kutengeneza magame ya simu ambayo mengi hayakuwa yamefanya vizuri maana yeye alikuwa anatengeneza games za 2D wakati dunia ilikuwa...
Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za...
Nini huwa inaxababixha hii kitu? Ni kuwa wabongo wanatumia internet ya makazini kwao au wabongo ni wavivu wa kazi?
Weekend ukipita humu unakuta kimya kabixa, m2 mmoja mmoja. Ikifika jumata2 nyuzi zinachangamka balaa. Nyuzi mpya kila dakika.
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?
Je,walitawahi tangaza kuahirisha?
Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?
Mwenye majibu tafadhali.
The death of the loved one can have enormous impacts on well-functioning adult and it can become even more severe, more pronounced in the adolescents, for the teenager dealing with the loss of the loved one is an extremely challenging task. When the adolescent goes through the loss of the...
Siku 60 baada ya uchaguzi mkuu hakuna Mbunge aliyeonekana kutambua kwamba uchaguzi ulishamalizika na Sasa ni muda wakutimiza ahadi walizoahidi.
Wabunge wengi wamehamishia makazi yao Dar huku wakipanda mwewe kuelekea Dodoma pale inapolazimika kiratiba kufanya hivyo.
Huku majimboni pia kwa kuwa...
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi...
Walezi wetu kiroho wametueleza nn leo makanisani?
Huku Kagera mafundisho yamejikita kwenye Mambo makuu manne;
1. Tuombe toba kwa Taifa letu
2. Tusameane
3. Tujifunze kuwasikiliza walio na mawazo tofauti na sisi
4. Tumuenzi kristo kwa kupendana
..huko ulipo Mambo ya rohoni yaliendeshwa...
Habari za Chrismas wana JamiiForums leo nadhani ni hamsha hamsha kila sehemu nami nikaona isiwe tabu ngoja nianzie church KKKT UKONGA
Wakati naingia jua lilikuwa kali na km Unavyojua sisi wengine hatuendag church nahis leo hata shetan alishangaa maana laiti wangejua mambo ninayofanya na...
Leo wakati nawaza kuhusu vipindi kadhaa vya television Tz nikajikuta napata aidia ya kipindi kizuri sana ambacho naamini kikisimamiwa vizuri basi channel husika itatazamwa sana.
Lakini nataka hili wazo niliuze kwa mmiliki wa TV, channel au media yoyote ambayo inarusha Maudhui kwa Kiswahili...
Tunateseka sana wanaume unakuta mdada anatembea harakaharaka huku anakatika makusudi kabisa hii sio sawa.
Tembeeni kwa wastani msinyumbulike sana, yani kule sio kutembea ni kukatika kiuno makusudi.
Kama hamuamini wakulungwa kaeni kwenye malls au restaurants zilizopo pembeni ya barabara...
Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ninapenda kuchukua wasaa huu kutuma salaam zangu za pole sana kwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe (DC) Madam Jokate Mwegelo kwa msiba mzito uliomfika wa baba yake mazazi mzee Urban Costa Ndunguru.
Mungu azidi kumtia nguvu na faraja...
Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani.
Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila...
Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao...
Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa Chadema , lengo la unyama huo lilikuwa kumzuia kugombea tena udiwani ili kuirahisishia ccm ushindi ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.