siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, Bernard Membe yuko wapi? Siku zimebaki chache na haeleweki

    Wakuu Salaam: Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote. Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini! JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
  2. Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  3. GE2020 Siku kumi za kuamua

    Leo nitazungumza sana siasa za Ubunge. Ukicheza vibaya hasa katika siku kumi za mwisho unaweza kuambulia 0 na ukicheza vizuri unaweza kushinda sana. Siasa ni sawa na masomo ya darasani hasa kwa wanafunzi wa sekondari. Unapoanza unakuwa na masomo wastani kumi. Lakini ukifikia kidato cha tatu...
  4. Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

    Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli. Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa'...
  5. Q

    GE2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

    Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee. ----- Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
  6. Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  7. Nini kitatokea hapa duniani tukilala kwa muda wa miaka 1000?

    Hello, habari zenu wakuu. Nahisi muko wazima wa afya, leo nimekuja na hii, unahisi dunia itakuwaje kama sisi sote tukilala kwa muda wa miaka 1000. Baada ya miaka hiyo 1000 tutakapoamka dunia itakuwaje? Yaani namaanisha watu tuwe tumealala kama tuliokufa kuwe hakuna shughuli inayoendelea. Tupa...
  8. I

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu. Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku. Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo: 1. Aina ya biashara 2. Mtaji unaotumia kuzalisha faida ya 30,000 Kumbuka waliofanikiwa sio wachoyo...
  9. Napenda siku moja iwe hivi...

    1. Napenda siku moja hapa dar matafriki wasiwe kazini jiji zima wala taa zisifanye kazi.Yaani ni madereva tu na magari yao.(lengo nataka kusikia matusi na misele ya madereva wetu) 2. Napenda siku moja benk zote mjini ziruhusu watu 'kujisevia' wenyewe,yaani kama vile kwenye harusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…