Napenda siku moja iwe hivi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda siku moja iwe hivi!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Deejay nasmile, Feb 20, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  1.Napenda siku moja hapa dar matafriki wasiwe kazini jiji zima wala taa zisifanye kazi.Yaani ni madereva tu na magari yao.(lengo nataka kusikia matusi na misele ya madereva wetu)
  2.Napenda siku moja benk zote mjini ziruhusu watu 'kujisevia' wenyewe,yaani kama vile kwenye harusi unavyojipakulia msosi.So mtu unaingia tu mle kwa keshia unawekea au unatoa pesa mwenyewee!! Au unaenda pale bodi ya mikopo unajikopesha milion kadhaa hv. Nk
  3....!
  4....!
  Jazia na zako unazopenda siku moja zitokee
   
 2. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  3.Ningependa cku1 matumiz ya money tuyasahau. Kila k2 bure.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Bure bure tu?
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unapenda siku moja kutokee CHAOS !!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Ningependa siku moja tubadilike, badala ya kutumiana miSMS isiyokuwa na maana, tuanze kutumiana SMS juu ya upendo wa Mungu kwetu(neno la Mungu).
   
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Ningependa kama ambavyo mtu anakuwa makini juu ya simu yake, akisahau ndani tu haraka anakumbuka na kurudia, iwe hivyo hivyo juu ya BIBLIA zetu. Siku zikipatikana BIBLIA ndogo za kuweka mfukoni unatembea nayo kama tutembeavyo na simu na iwe na agano jipya na agano la kale. Mtu ukiisahau ndani tu, haraka sana unairudia, siku hiyo itakuwa siku nzuri sana.
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Napenda itokee kama mwezi hivi tuwe tunakula na kunywa tu bila kwenda chooni.
   
 8. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  njia za kuendea msalani zikiota manyasi utapalilia wewe?
   
 9. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa cku1 tuishi kiujamaa.
  Kilicho changu chako chako changu na hv ukizingatia cna hata gar wweee! Mtaan watanikoma!
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hahahaaa just imagine how fat we will.??
   
 11. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Napenda siku moja watu wote waokoke shetani abaki mwenyewe .
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nataman sn itokee cku moja pm za watu wote zijidisplay km sred hivi watu tusome tu alafu iwe fresh tu!
   
 13. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ye mwenyewe nackia alitangaza kuwa anataka kuachia ngaz baada ya kupata tour huko Oven ya milele iliko.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  natamani siku moja mwanamke yeyote aliye mbele yangu ni halali yangu.

  Aiseee, weupe na wenye miguu ya bia watanikoma.
   
 15. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Natamani cku moja binadamu wote tunyang'anye mavazi na tuwe tunatembea uchi wote.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hivi ile operation ilifanikiwa kupita kiasi?
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mungu apishe mbaliiiii! hahahahahaha
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Siku moja:
  1. Hatimaye Simba sports club kujenga uwanja unaitwa Lion king
  2. Kihaya kuwekwa kwenye dictionary kwani maneno ni kama ya kiingereza
  3. Arsenal kushinda Carling cup na Chelsea kuchukua UEFA champions
  4. Jonny Walker kuacha kutembea na na baunsa wa konyagi kushusha mikono
  5. Mtoto aliekuwa anaadvertise pampers sasa kuajiriwa aadvertise always ultra
  6. Hatimaye Tom and Jerry kufa, kwani Tom kufa baada ya kufa mara saba na Jerry kufa kutokana na kitambi kwani hakupata misukosuko tena na hivyo kukosa mazoezi.
   
 19. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  dah sipat picha itakuwajeeeeee
   
 20. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  mmmh,wacha weee
   
Loading...