Nini kitatokea hapa duniani tukilala kwa muda wa miaka 1000?

Nini kitatokea hapa duniani tukilala kwa muda wa miaka 1000?

Jee unahisi dunia itakuwaje ikiwa tutalala miaka 1000?

  • Baada ya miaka 1000 hakutakuwa na teknolojia

    Votes: 5 21.7%
  • Dunia yote itakuwa msitu na kukaliwa na wanyama na ndege

    Votes: 17 73.9%
  • Eneo la ardhi latadidimia na bahari kutawala

    Votes: 1 4.3%
  • Kuna viumbe wengine watatawala badala ya binaadamu

    Votes: 11 47.8%

  • Total voters
    23

Travis Walker

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
323
Reaction score
335
Hello, habari zenu wakuu. Nahisi muko wazima wa afya, leo nimekuja na hii, unahisi dunia itakuwaje kama sisi sote tukilala kwa muda wa miaka 1000. Baada ya miaka hiyo 1000 tutakapoamka dunia itakuwaje? Yaani namaanisha watu tuwe tumealala kama tuliokufa kuwe hakuna shughuli inayoendelea.
Tupa uchaguzi wako hapo juu au maoni yako hapo chini.

PERSONAL AD: WAKUU NATOA HUDUMA YA KUTENGENEZA TOVUTI (WEBSITE KWA BEI NAFUU)
MAWASILIANO: 0745 521 126
 
Kuna kamsemo kanasema nature always find its way and nature always win.
Mazingira hayamuhitaji mwanadamu ila mwanadamu ndio anayehitaji, hivyo kama ikitokea tukalala miaka 1000 hata hiyo ni mingin sana tuseme tulale mwka mmoja tu.
Tukiamka tunaweza kutanhata tails za ndani zimeota miti au nyasi..

Kama muda utasimama basi tutaamka na kukuta hali iko vilevile lakini kama muda utakua unaenda mbele basi tutakuta mabadiriko makubwa kwenye mazingira. Kama vile mtu aliyekufa karne iliyopita aamke leo atakuta mabadiriko makubwa ila atajua jana tu alikua kalala coz kwenye kifo hakuna muda
 
Dunia itabadilika Sanaa,kwanza
Binanadam ni miongoni mwa viumbe bora kuumbwa katika sayari hii ila kunaviumbe hai wasiooneka,wanao onekana na Kila aina ya kiumbe ,bin Adam akiwa miongoni mwao.
Ikitokea bin Adam wakalala kwa kipindi kirefu namna hiyo .
Itakuwa sio mwisho wa dunia,

Kuna vitu vitaendelea automatic eg,
Ecosphere> Ecosystem>community>popuation>individual, kwa upande
Wanyama na mimea na viumbe vingine tofauti na sisi
Vitaendelea kwa ubora wa Hali ya juu na dunia itakuwa green kwa sehem kubwa ,maji yataongeza dunia ,barafu itarudi kuwa sehemu kubwa ya dunia , viumbe Kama paka,mbuzi,kasuku,panya ,njiwa ,mbwa na Kila jamii ya viumbe wakufugwa ,wataleta ustaarabu kwa wakati huo kwa kukopi life ya boss wake aliyelala kwa wakati huo 😂

Jehana itanzimwa kwakuso waovu😂🤣
 
Hivi tulale tu si misimba,matembo na manyama makalamakali yatatula vibaya mno! Ndo hatutaamka hivyo na hakuna usingizi wa hivyo!
Maana utawezaje kuwa hivyo huku huli si utakosa hata energy za kupumua!
Nini kitatokea ni tutakuta miundo mbinu imekuwa chakavu kutakuwa na Giza haswa maeneo ya misitu mikubwa itakayokuwa imejitengeneza.. kutakuwa na hewa Safi maana shughuli za uharibifu wa Hali ya hewa utakuwa umesimama pia.. maji yataongezeka maradufu kutokana na kutotumiwa na watu wengi hivyo vyanzo vya maji vitajaa maji hadi kuyatema.. wanyama baadhi wataathirika ila baada ya muda watakaa sawasawa na kuzaliana kwa kutosha!.. kutakuwa si tu Kuna national Park Bali dunia itakuwa earth earth park..😅

Kuna uwezokano mkubwa mabadiriko ya Hali ya hewa namaanisha mvua zitakuwa heavy..
 
Kuna kamsemo kanasema nature always find its way and nature always win.
Mazingira hayamuhitaji mwanadamu ila mwanadamu ndio anayehitaji, hivyo kama ikitokea tukalala miaka 1000 hata hiyo ni mingin sana tuseme tulale mwka mmoja tu.
Tukiamka tunaweza kutanhata tails za ndani zimeota miti au nyasi..

Kama muda utasimama basi tutaamka na kukuta hali iko vilevile lakini kama muda utakua unaenda mbele basi tutakuta mabadiriko makubwa kwenye mazingira. Kama vile mtu aliyekufa karne iliyopita aamke leo atakuta mabadiriko makubwa ila atajua jana tu alikua kalala coz kwenye kifo hakuna muda
sahihi kiongozi
 
Hivi tulale tu si misimba,matembo na manyama makalamakali yatatula vibaya mno! Ndo hatutaamka hivyo na hakuna usingizi wa hivyo!
Maana utawezaje kuwa hivyo huku huli si utakosa hata energy za kupumua!
Nini kitatokea ni tutakuta miundo mbinu imekuwa chakavu kutakuwa na Giza haswa maeneo ya misitu mikubwa itakayokuwa imejitengeneza.. kutakuwa na hewa Safi maana shughuli za uharibifu wa Hali ya hewa utakuwa umesimama pia.. maji yataongezeka maradufu kutokana na kutotumiwa na watu wengi hivyo vyanzo vya maji vitajaa maji hadi kuyatema.. wanyama baadhi wataathirika ila baada ya muda watakaa sawasawa na kuzaliana kwa kutosha!.. kutakuwa si tu Kuna national Park Bali dunia itakuwa earth earth park..😅

Kuna uwezokano mkubwa mabadiriko ya Hali ya hewa namaanisha mvua zitakuwa heavy..
Kabisa mkuu, na kuhusu suala la kulala bila energy linawezekana maana history inasuggest watu waliolala miaka 300
 
Hi mada inanishawishi kufa.

[emoji11][emoji11][emoji11]
 
Tutakua kama tume quit life kila kitu kitaanza upya, ila round hii hatuchachukua muda kufanya maendeleo
 
Unamaanisha tulale watu wote duniani kila sehemu na masaa yao ya kulala au tupitiwe na usingizi watu wote kwa pamoja bila kujali masaa ya watu wa eneo husika wanayo lala?
 
Back
Top Bottom