siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    Waislamu watangaziwa mfungo wa siku tatu ili kujiepusha na COVID19

    Katibu wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Hassan Chizenga ametaka waumini wa dini ya Kiislamu nchini Tanzania kufunga kwa siku tatu kuanzia Machi 8 ili kumuomba Mungu aepushe janga la CoronaVirus. Pamoja na Mfungo Baraza Kuu la Waislamu Tanzania limeona haja ya kurejesha dua za Kunuti katika swala...
  2. M

    Je, hili ndio tatizo vijana wengi wa siku hizi kuwa na vipara ukilinganisha na wa zamani

    Inakuwaje wanajamvi, Yani ukiangalia picha na video za miaka ya tisini kurudi nyuma vijana wengi hadi wa makamu miaka 45+ walikuwa na afro na nywele nyingi. Ngumu sana kukuta vipara. Ila sasa hivi kwaanzia ma teenegers hadi 27 years wengi wana vipara. Tatizo nadhani msongo wa mawazo, vyakula...
  3. D

    Ukiwa mtu maarufu halafu masikini usipende kusimanga watu, Ipo siku litakukuta jambo Watu watakupita kama nyanya mbovu

    Masikini akipata, matako huria mbwata! Mhenga aliyesema hivi hakuwa na maana ni kweli makalio yatabwata! Alimaanisha ukipata kitu basi usiwakwaze wengine! Kuna watu wamejipambanua kwa majina makubwa sana mtandaoni, wanatambulika kama public figure machonj pa watu! Lakini pamoja na yote, kwa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hili ndilo vazi langu rasmi la siku ya leo ya Valentine

    Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
  5. E

    Watu tulio single tunavaa nguo za rangi gani Siku za Valentini?

    Wakuu mambo, Mpo poa. Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single. Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.
  6. J

    Askofu Gamanywa: Jumapili itakuwa ni siku ya kupiga nyungu kuu kuliko zote pale Kanisani kwetu!

    Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa. Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa...
  7. Infantry Soldier

    Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

    Mambo vp jamiiforums. Je, shemeji yako wa kiume anaweza kuwa swahiba? Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni. Just imagine, kwa akili...
  8. Extrovert

    Wabunge mngejadili uwezekano wa kuwa na ukomo kwenye mikataba ya kazi kulingana na maslahi yanayopatikana

    Ningependa siku moja nisikie mkijadili kuhusu kuleta miswaada ya jambo hili. Katika mfumo wa ajira kuwe na ukomo kwenye mikataba ya kazi tu kulingana na maslahi yanayopatikana. Wenye mishahara inayozidi 6M+ ndani ya miaka 5 wastaafishwe kwa manufaa ya umma wapishe intake nyengine. Wale wenye...
  9. B

    Rais wa Ethiopia katika ziara ya siku 2 nchini Burundi

    February 9, 2021 Bujumbura, Burundi The Ethiopian Head of State in an official two-days visit in Burundi The Federal Democratic Republic of Ethiopia Head of State made an official two-days visit to Burundi from this Thursday. The Ethiopian Head of State arrived at Ndadaye Melchior...
  10. yuda75

    kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo uwapendao

    habarini za muda valentine imekaje kwa upande wako je ni siku gani katika maisha yako na kuwakumbuka uwapendao kwa upendo waliokuonesha kwa namna moja au nyingine au ni siku ya sex mana ndo siku inayoonekana kuwa na visa vingi vya mlipuko na maambukizi ya magonjwa ya zinaa pia kujaa kwa nyumba...
  11. yuda75

    Kuelekea (VALENTINE)siku ya wapendanao je ni siku ya sex au kuonesha upendo kwa uwapendao

    nasikiaga siku hizi gest huwa zinajaaa sana na mambukizi ya magonjwa ya zina huongezeka kwa kasi sana je hi siku ni kwaajili ya nini haswa je ni sex au kuonesha upendo kwa kutoa zawadi kwa ndugu jama na marafiki uwapendao
  12. Pain killer

    Uwezo wa kunusa umepotea siku ya tatu sasa

    Habari wakuu Hapa nilipo sina amani kabisa ,uwezo wa kunusa umepotea kabisa ,ninakula chakula bila kusikia harufu yake. Ninamafua ya kawaida hayanibani sana ,ila hili la kutonusa na kusikia harufu ya kitu limekuwa kubwa zaidi Naomba kujua tiba yake Uzi tayar
  13. M

    Vodacom na wizi wa kifurushi cha siku: Hayatimii masaa 24, hata ukijiunga saa 11:00 jioni ikifika saa 10:59 jioni ya siku hiyohiyo kifurushi kinaisha

    Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo. Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
  14. mwanamwana

    TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

    Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA. Habari za...
  15. Deogratias Mutungi

    Siku 💯 za uongozi wa Rais Mwinyi Zanzibar ni nyota njema kwa Wazanzibar

    Salaam JF, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye tija kwa Wazanzibar na taifa lao kwa ujumla ndani ya kipindi hiki kifupi. Rais Mwinyi ameweza...
  16. N

    Siku mbaya kwa makanjanja redioni leo

    nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA...
  17. Mlenge

    Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

    Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku? Wajemeni, siku hizi naona kama mita ya umeme inakimbia. Hivi kwa wastani yuniti ngapi za LUKU hutumika kwa nyumba ya kawaida tu?
  18. Darucha

    Wale ambao tulidekezwa na wakina mama na mwisho wa siku mama zetu wakafariki ghafla, hebu tuambiane changamoto tulizopitia

    Aisee jamani hakuna kitu kinauma kama kuondokewa na mama ghafla ambaye alikuwa ni msaada kwako kwa kila kitu. kiufupi katika familia yetu wote tumezaliwa wote boys na tuko sita hatukuwa na dada hata mmoja. Mama yetu ndo alikuwa dada kwetu rafiki kwetu na kila kitu katika maisha yetu ya sisi...
  19. M

    Siku Rais Magufuli alipoahidi kuendeleza na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya

    Suala la katiba mpya lilikuwemo kwenye Ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 Raisi Magufuli wakati anazindua bunge mwaka 2016 aliahidi kukamilisha kiporo cha katiba mpya akichokirithi kutoka kwa mtangulizi wake Pia mara kadhaa baada ya hapo aliahidi kuendeleza mchakato wa katiba mpya...
Back
Top Bottom