Ama kweli, siku hazigandi. Leo nimekutana nae after 21 good years

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,966
2,000
Baada ya kumaliza chuo, nilibahatika kua mmoja ya top 5 walio bahatika kua selected kwenda kuajiriwa kwenye kampuni moja kubwa miaka ile.
Nikiwa kijana sana siku zile, nilibahatika kupata mkataba wa kudumu na mshahara mnono wa 108,00 (miaka ile).
Kijana nikaanza kazi, na sikuzile nilikua na mikogo pamoja na maisha ya kuiga (nilikua mshamba). Basi kijana nikaona maisha sindio haya...πŸ€—.
Picha likaanza, nikiwa kazini (engineering department) mara meneja wangu siku zile alianza kunipa kazi za kipuuzi sana, and all of the sadden nikapangiwa zamu ya kufanya usafi kwenye makzi yetu (camp). Kwakweli nilichukia sana na nikahisi kuonewa sana.....
Basi kutokana na shida pamoja na nikiwaza jinsi nilivyo tokea familia ya kimaskini, nikaona isiwe tabu na nikachukulia poa (nilijipa moyo kwamba hata nikipokea mshahara hautokua ukinuka povu, jiki, sabuni, mkojo, mav! na kadhalika...😎
Mwisho wa siku nilizowea baada ya kama wiki moja hivi na maisha ya kawaendelea.
Sasa.....
Kuna mzungu mmoja alikua anatabia ya kua anaacha movie bila kuflash baada ya kudownload kiwele (zaidi alikua anafunika tu kifuniko) ilikua ni vile vyoo vya kufunika.
Kwakweli ile hali ilinichosha sana, basi nami nikaanza tabia ya kua nikikuta hajaflash kiwele cha pizza, then nami nakandamizia kwa juu yake kiwele cha dona yaani party after party...πŸ˜‚πŸ˜‚ Kisha nafanya usafi mwingine then nafunika ile choo kama nilivyo kikuta.
Lilezoezi la kumkomoa yule bepari nililirudia kama mara tatu, then mzungu akashindwa kuvumilia na akaamua kwenda kunishtaki kwa General Manager...😊
Basi mzee nilipoitwa na kusomewa tuhuma za kwamba sifanyi usafi room kwa supervisor, mie nilikana na nikasema hua nafanya usafi lakini shida ya boss wangu nikaamua kuiweka wazi mbele ya kikao cha kusikiliza kesi (nikiwaambia jinsi yule mzungu alivyokua akikunya na kisha kuacha kiwele pasipo kuflash).
Basi alipoullizwa jamaa alikubali kwamba NIKWELI HUA ANASHUSHA DONGO, lakini kilicho mshangaza kwa siku tatu mfululizo ni alikua anakuta KIWELE KIMEJAA ZAIDI NA KIDOGO NI HEAVY DUTY na kimeongezeka kuliko alichokua akikiacha..🀣🀣
Basi mie nikaomba wasikiliza kesi tuende kwa pamoja tukaangalie kimba kama lina matabaka mawili...πŸ˜…πŸ˜…, Pale nilijua watakataa kuangalia dongo la kibantu na kesi ikaishia pale pale...😜😜

Yule mzungu amekuja leo, na ndio ametambulishwa kama Engineering and Maintenance Manager wa kitengo changu...πŸ™„πŸ™„
Sasa hapa nawaza nikikutana nae na ikitokea amenikumbuka nimwambie kwamba yule ni pacha wangu...πŸ€“πŸ€“
Au nasema uongo ndugu zangu...πŸ˜‡πŸ˜‡
 

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,400
2,000
Karibuni chai ya mint.
20210520_213211.png
 

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,613
2,000
Bado unaendelea na kazi ya kusafisha kimba ila una roho ngumu sana unaweza hata kuua mtu yaani ukawa unafanya party juu ya party
 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,966
2,000
Nilikua nakukumbusha kuchapa kazi mkuu
Mkuu, nina watoto saba na wote wanasoma st. Whatever na bado nabaki na chenchi ya kukata kilaji....
Sasa kwenye swala la kutokuchapa kazi, bilashaka jibu umelipata
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom