Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Wakili Albert Msando amesema Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam imejipanga kuhakikisha amani na utulivu vinatawala katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu ujao ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Mhe Msando amezungumza hayo kwa niaba ya Mkuu wa...
Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
Nakusudia maandamano yale yenye lengo la kupinga zoezi la uchaguzi
Kama ni hoja watu wametoa hoja zao sana na kama ni elimu watu wametoa elimu ya kutosha juu ya jambo hilo.
Sasa tufanye tathmini ndogo hapa kila mtu aoneshe upande wake anaochagua kwamba anaunga mkono au haungi mkono maandamano...
Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole. Hakuna uthibitisho wa madai yao ila wahenga walishasema lisemwalo lipo. Kama ni kweli Mafwele anahusika...
Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake.
Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha.
Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa.
1. Jukwaa la Wahariri(TEF)
2. BASATA
3. Chama cha...
GT
Ulafi wa madaraka hujawahi kumwacha mtu salama japo kwa sasa samia naye anajilmbikizia mali ipo siku atakuja kulia peke yake.
Kumsikiliza kikwete lilikuwa ni jambo na uamuzi wa hovyo sana nyakati kama hizi. Kikwete ni FAILURE aliyepitwa na wakati samia na kikwete wanaenda kuangamia kwa...
Nchi hii ni ya maajabu sana ,
Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno!
Katika interview ile aligusia:
1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na watanzania watapiga kelele miezi kadhaa na kusahau
2. Akagusia kwanini JF imefungiwa
Sasa baada ya...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana.
Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatatu (29.09.2025) imetoa uamuzi mdogo katika kesi namba 8322/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama...
Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru.
Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya
1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani.
2. Kumbukizi ya...
Maisha ni mabadiliko kwasasa watapiga kila deal za pesa
Lakini hawa viongozi wajue iko siku wataondoka na watoto wao watatiwa hatiani i
Huyu dogo ataishia kukimbia Dubai au Oman. Tutaonantu
Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote.
Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago
Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time nikamwelewa Amina lakini sikuwa nimemzoea na alikuwa mkimya sana kwa hiyo ilileta ugumu kupata...
Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically.
Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
Habarini,
Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae.
Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.