Japo 'kashinda' kuna siku Museveni atashindwa urais

Japo 'kashinda' kuna siku Museveni atashindwa urais

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,687
1768673311763.png

Kwa afya na umri wake, hata afanyeje, kuna siku ataitwa rais wa zamani au aliyekuwa rais wa Uganda YAK.
Jitu binafsi, choyo, king'ang'anizi, na hovyo sina mfano. Kwanini mijitu mingine haina utu na inapenda madaraka kuliko utu? Hata likifia madarakani, so what? May Museveni perish!
 
Sio kirahisi kuuondoa mfumo (system). Umemsikia mtoto wake alivyomwambia bobiwine kwamba hata ikitokea M17 akavuta ajiandae kupambana na yeye!! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake Africa ni shithole! Pathetic
 
Muhoozi, kama baba yake, anajidanganya. Ilikuwapo mifumo kama hii huko Zaire, Rwanda, Malawi na kwingineko. Mwisho wake ulipofika, imebakia marejeo ya kihistoria kwenye taaluma.
 
ushawahi kuona m7 anafanya siasa chafu?
 
Bendera itapepea nusu mlingoti then the son will be president, then Uganda itachafuka sababu ya uprising ya vijana. Baada ya muda bendera itapepea nusu mlingoti na baada ya hapo Bobi Wine atakua raisi wa Uganda. Time will tell.
 
Kitafia madarakani hichi kizee. Na huyo mwanae anayejiandaa ajue pumzi ni ya Mungu
 
Kwa afya aliyonayo hatoboi hata ikitokea Mungu kaamua kumuweka hana uwezo wa kutekeleza majukumu yake … muda wake umekwisha
 
Muhoozi, kama baba yake, anajidanganya. Ilikuwapo mifumo kama hii huko Zaire, Rwanda, Malawi na kwingineko. Mwisho wake ulipofika, imebakia marejeo ya kihistoria kwenye taaluma.
mfumo upi uliobadilika pale rwanda au unaongelea ile massacre iliyomuweka madarakani Mr PK? Since Mobutu mpaka Assasnation of Lumumba mpaka leo yupo dereva tax Tshekedi mfumo upi uliobadilika mabepari yanajichotea rasilimali congo nzima na kwingineko. Uelewe mkuu Dunia inavyoendeshwa huku kwenye dunia ya tatu(afrika) marais wanawekwa kwa maslahi ya wakubwa sio wananchi labda uwe dumped everything is business CAPITALISM!
 
Back
Top Bottom