SIKU NIKIWA MKUBWA.
Nikiwa mkubwa nitamfundisha mwanangu swala zima la Kutukumbuka sisi wazazi wake baada ya kumkatia simu mara Nne Mama yangu Aliyekuepo kijijini baada ya kuniomba Pesa ya Sukari
Nikiwa mkubwa nitakuwa Imaam ,na kumtahadharisha muumini kuhusu Uzinzi ,Baada ya kulala na Mkewe...