siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali: Agosti 23, 2022 ni siku ya mapumziko

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko. Lengo ni kufanikisha zoezi la sensa linalotarajiwa kuanza siku hiyo kwa kuwapokea makarani wa sensa na kutoa maelezo sahihi. Hivi karibuni Kamisaa...
  2. JamiiForums Tanzania Sitasahau Siku nimemnunua X wangu kama Pisi kali

    Aisee wanasema milima haikutani lakini Binadamu wanakutana, Hiki ni kisa Cha kweli mwaka huu, Nilisafiri kikazi kwenda mkoani Tanga na Kwa kawaida ni sehemu ambayo huwa naenda mara kadhaa kutokana na kazi yangu, Basi Siku Hiyo nilitoka nikiwa na "ukame" kama wote maana nilikuwa na mgogoro...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

    Baada ya masaa machache kutangaza wamekuja na hii tena. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) laahirisha zoezi la kuzima mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU kama ilivyobainisha saa chache zilizopita. TANESCO wanaeleza kuwa watatoa taarifa pindi zoezi hili likitaka kutekelezwa kwa wakati mwingine...
  4. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzima mfumo wa ununuzi LUKU siku nne (Agosti 22 - 25, 2022)

    Dar es Salaam. Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya LUKU kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku. Meneja Mwandamizi wa Tehama katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Cliff Maregeli...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maono: Siku Marekani akichoka visa vinavyofanywa na Korea Kaskazini huenda ataifuta kabisa

    Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia. Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku...
  6. R

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Siku ya sensa iwe siku ya mapumziko kwa Rais Samia

    Pole na majukumu mazito ya kuijenga Tanzania. Ninapenda kuchukua nafasi hii kukuomba Rais uamrishe siku ya sensa iwe ni siku ya mapumziko. Hii ni kwasababu zifuatazo; 1. Siku ya kwanza ikiwa ni mapumziko nina amini makarani wetu watafanya kazi nzuri kwa kua watapata taarifa nyingi na sahihi...
  7. JamiiForums Tanzania Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  8. JamiiForums Tanzania Ikiwa Siku ya sensa hakutakuwa na mapumziko, basi sensa inaweza kuchukua zaidi ya wiki kukamilika

    Kwa mujibu wa Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Mama Anna Makinda ametoa tangazo kwamba siku ya sensa, tarehe 23/08/2022 ambayo itakuwa Jumanne, haitakuwa siku ya mapumziko. Haya ni maajabu. Kwa mujibu wa historia ya sensa za miongo miwili iliyopita, inaonesha ili kuwapata watu wote...
  9. JamiiForums Tanzania Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO

    Jifunze sanaa ya kuishi kutoka Sri Sri Ravi Shankar katika tukio hili la siku moja BILA MALIPO. Agosti 25, katika Julius Nyerere International Convention Centre. Usikose fursa hii nzuri!
  10. JamiiForums Tanzania Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

    Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Siku ya 11 leo kipimo kinaonesha ana ujauzito

    Habari jf? Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala. Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga. Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua anachukua urine test kwenye masuala mengine. Je, inawezekana mimba kuonekana kwenye rada kwa muda...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika. Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar. Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya vijana duniani

    Mawazo ya kuwepo kwa siku ya kimataifa ya vijana yalitolewa mnamo mwaka 1991 na vijana waliokusanyika mjini Vienna nchini Austria kwa ajili ya kipindi cha kwanza cha jukwaa la dunia la vijana la mfumo wa umoja wa mataifa. Kwa mara ya kwanza, Umoja wa Mataifa ulisherehekea mwaka wa kimataifa wa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Stergomena awasili Msumbiji katika ziara ya siku 4

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hizi single parent imekuwa kama sifa au ufahari kwenye jamii yetu.

    Siku hizi kwa udadisi wangu naona hili jambo linakuwa kwa speed ya light. Nikianza na sisi wanaume. Siku hizi nana tumeinvest sana kwenye kujenga miili,kutumia mikongo,alkasusu nk ili kuwalizisha wanawake kitandani, huku tukikataa kuwajibika kwa output (mtoto) tulizo zitengeneza kitandani na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Karia kutohudhuria siku ya Mwananchi

    Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya Simba Day. "Nawapongeza Yanga kumualika kocha mkubwa Afrika, Pitso Mosimane pia nimesikia Simba nao...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu mwenzenu alikimbiwa na mke kisa ni kumlisha kauzu na dona kila siku

  19. N

    JamiiForums Tanzania Hali Tete: Wana struggle kuuza tiketi za siku yao

    Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Waziri wa Mambo ya Ndani akanusha Madai ya Ruto ya kuzima umeme na internet siku ya Uchaguzi

    Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni kejeli kwa kuwa wanaunga mkono Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuendesha na kufanikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…