siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

    Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130. Mimi at this age nadhani ni 500+, Wazungu wanatuonaje? Ndani ya wiki...
  2. JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke. "Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi...
  3. JamiiForums Tanzania Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  4. JamiiForums Tanzania Siku Marekani ikisambaratika, kitatokea nini duniani?

    Historia inaonesha kwamba Dola kubwa duniani zimewahi kusambaratika. Lakini katika zama zetu, Marekani ni Dola kubwa Ulimwenguni. Huwa najiuliza ikitokea nchi ya Marekani ikasambaratika, kitatokea nini duniani?
  5. JamiiForums Tanzania CCM Wezesheni upatikanaji wa KATIBA mpya kumbukeni siku yaja nanyi mtakuwa chama cha upinzani

    Tusiseme mengi ila kumbuka hakuna dora zilizokuwa na nguvu kama Ottoman empire, Roman empire, Greek, Egypt, Babeli chini ya vyama vyenye nguvu na ushawishi lakini viliporomoka mpaka mavumbini. CCM kuamini kwamba mtatawala milele huko ni kujidaganya mchana kweupe. Chini ya CCM tunaona namna nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

    Umeme unapokosekana tambua pia maji yanakosa, maana hawa jamaa DAWASCO na TANESCO baba mmoja. Tunaomba mrejeshe umeme Vingunguti, mnakataje umeme siku 3 bila taarifa? Mnatukosea sana.
  7. JamiiForums Tanzania Sitasahau siku ambayo nimekutana na Rais Putin ikulu ya Kremlin

    Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

    Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ipo siku walimu wataamka

    Ipo siku walimu wataamka, Ipo siku walimu watasimama, Ipo siku walimu wataamua, Ipo siku machozi yao yataisha, Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili, IPO siku watatambulika kama Watu muhimu sana, Ipo siku maslahi ya walimu yataboreshwa. Ipo siku, ipo siku, ipo siku na waambia ipo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu Kagera uchunguzi siku ngapi?

    Tarehe 16 March, hatimaye serikali ilitaarifu uwepo wa ugonjwa wa ajabu Kagera. Wakati maisha yakiendelea mabasi nayo kazini. Huu uchunguzi tulioarifiwa kuuhusu huu ugonjwa hadi lini?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya Maandamano Machi 20 Nchini Kenya, Ujinga na uroho wa Madaraka vimetawala

    Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia. Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  13. T

    JamiiForums Tanzania CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

    Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini! Wamefanya mgomo wa chini chini! Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

    Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati John Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa...
  15. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu ya Arusha kuanza kujengwa ndani ya siku 30 zijazo

    Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe amempongeza na kumshukuru Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geoffrey Pinda kufuatia maelekezo yake aliyoyatoa kuwa Ujenzi wa Stendi Kuu Arusha uanze ndani siku 30 nakuonya kwa yoyote anayekwamisha. MABORESHO STENDI YA SASA...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy atoa siku 14 kwa NHIF kukamilisha maboresho ya Toto Afya Kadi

    Waziri wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili (sawa na siku 14) akiuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha inarudi na mfumo rafiki kwa ajili ya kundi la watoto wa mwaka sifuri mpaka miaka 18. Ummy ameyasema hayo baada ya swali aliloulizwa na baadhi ya wachangiaji...
  17. JamiiForums Tanzania Elimu kwa Ally Kamwe na Ahmed Ally juu ya hamasa viwanjani siku za mechi

    Inasemekana kuwa Shabiki ni mchezaji 12 wa timu wakati wa mechi, hivyo Ally Kamwe na Ahmed Ally wasemaji wa Yanga na Simba wanafanya kila jitihada ya kuwataka wanachama na mashabiki wa timu hizo washangilie mwanzo mwisho wa mechi zao muhimu. Hata hivyo sayansi ya akili na tabia ya mtu inamtaka...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

    Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka. Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
  19. JamiiForums Tanzania Endelea kupenda hela kuliko utu ipo siku utakumbuka maneno haya

    Asalaam alhkumu. This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi. Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi. Endelea na...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…