Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Hello Africa,
Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari.
Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa barabarani wakat JF member wananitegemea hapa.
Naona wakati wa kurudi nitaita mshikaji anisaidie nirudishe gari la watu, nimepewa mwenyewe kaenda UK kwa muda wa miezi mitatu nisije gongesha Vanguard ya watu nikakosa cha kulipa au wazee mnasemamaje?
Wewe ilikuwaje siku yako ya kwaza kutembea njia kuu hizi za Dar?