siku mbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

    Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita. Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye mahusisno na msichana anayechagua vyakula? Mimi nilimlaza njaa siku mbili akaanza kula ugali dagaa

    Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu, sijui walizinguana nini, saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu (yaani mpenzi wake) na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu Nikamwambia njoo ulale kwangu, usiku mrefu ndugu zanguni, nilikuwa naishi kighetogheto chumba...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASCO maji wanatoa kwa siku mbili ndani ya wiki na bado imewashinda

    Katika shirika linaloshangaza ni dawasco maji wanatoa siku moja au mbili kwa week lakin bado nako kumewashinda je wangetakiwa kutoa maji 24/7 kama wafanyavyo miji mingine Napokaa hapa maji mara ya mwisho kutoka ni jumapili ile iliyopita sio hii ya juzi ukimuuliza engineer wa dawasco ni ahadi tu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya...
  6. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Ban mbili za whatsApp ndani ya siku mbili

    ...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  8. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo ya Nairobi kukosa maji kwa siku mbili

    Baadhi ya maeneo ya Mji wa Nairobi yanatarajiwa kukosa maji siku ya Jumatano na Alhamisi kutokana na kufungwa kwa bomba la maji kutoka Bwawa la Gigiri kwenda Bwawa la Karura - Barabara ya Outer Ring. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu, Kampuni ya Maji na Usafi wa Jiji la Nairobi ilisema bomba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Poland kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili tarehe 8-9 February 2024

    Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja atawasili nchini tarehe 8 February, 2024 akiambatana na mwenza wake Bi. Agata Kornhauser-Duda na atapokelewa...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa siku mbili, wameuawa Wapalestina 200

    Na wataendelea kufa mpaka wao wenyewe wajue adui wao ni HAMAS, ndiye kawaletea haya masaibu kwa kuchokonoa Wayahudi, kwa kifupi HAMAS iachie Wapalestina wajiongoze kwa amani.... Israel is reportedly planning an intensified and extended campaign in the Gaza Strip lasting potentially more than a...
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

    Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la...
  12. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kukata umeme siku mbili mfululizo haikubaliki

    Mmekuwa mnakata leo kesho upo. Tulikubaliana na hilo. Tukasema tutavumilia na tukaweka sawa ratiba zetu. Sasa huu utaratibu wa kukata siku mbili mfululizo inakuwaje? Kuweni serious na maisha ya watu.
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia kuwasili Tanzania, leo Agosti 21 katika ziara ya siku mbili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania. Waziri Dkt. Tax amesema ziara hiyo ni matokeo ya kazi kubwa anayoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Anatakiwa asubiri siku mbili au zaidi kisha ndiyo aendelee na majukumu yake

    Wadau hamjambo nyote? Mada na elimu hii ni kwa wale wenye hekima peke yake na ndiyo wanakaribishwa kujadili Anatakiwa kama Amemaliza leo basi ni vema akasubiri angalao siku 2 hadi 3 kabla ya kuendelea kutekeleza majukumu yake ya Kifamilia! Asubuhi njema ndugu zangu
  16. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Walimu watishia kupunguza siku za kufanyakazi, ziwe siku mbili tu

    Umoja wa Walimu wa Elimu ya Juu (COEASU) unaojumuisha vyuo 252 umetoa tamko kuwa Wanachama wake wanatarajia kuanza kufanya kazi kwa muda wa siku mbili kwa wiki kama Serikali haitapunguza gharama za maisha. Walimu hao wanataka nyongeza ya mshahara kwa asilimia 200 ili waweze kuendana na gharama...
  18. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Sudan wameamua kusitisha mapigano siku mbili kupisha sikukuu ya kuchinja kisha waendelee kuchinjana.

    Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali. Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

    Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana. Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
  20. Zacht

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili kufika Ile siku waliyo tuahidi

    Walituambia ikifika June tren zetu zitaanza kutembea maana Ile February waliomba wasogezewe muda kidogo,
Back
Top Bottom