siku mbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kukata umeme siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?

    Mlikuwa mnakata kwa kuruka siku. Haikuwa mbaya sana. Sasa hii ya kukata siku mbili mfululizo kazi zitafanyika saa ngapi?
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

    Wewe ni mmoja wa watunga thread kwa wingi per day, hapa JF. Kuna nini hujatupia? kama siku mbili hivi
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Iran: Mafuriko ya siku mbili yauwa watu 53

    Mafuriko ya siku mbili maeneo ya Tehran yameuwa Watu 53 kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali. Mkuu wa Kitengo cha Msalaba Mwekundu, Mehdi Valipour amesema Watu wengine 16 hawajulikani walipo baada ya tukio kuathiri Watu 400 katika Vijiji 18 na kusababisha miundombinu mingi kuharibika. Wiki...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DRC: Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya siku mbili

    Zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikundi vya Jihadi, Aprili 11 na 12, 2022, Kaskazini Mashariki mwa DR Congo, Shirika la Msalama Mwekundu limetoa taarifa hiyo. Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ni moja ya makundi yenye silaha, waliwashambulia watu katika...
  8. dubu

    JamiiForums Tanzania Mbarali, Mbeya: Waogelea siku mbili kumsaka aliyeanguka darajani

    CGFM RADIO wameripoti kwamba Wananchi wa Kijiji cha Kapunga Kata ya Itamboleo Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamejitokeza siku mbili mfululizo kumtafuta Bwana Mussa Mganwa(35) mkazi wa Kapunga anayehofiwa kusombwa na maji baada ya kuteleza darajani Mussa alisombwa na maji 28 Februari,2022...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  10. Midnight

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Siku mbili bila kulala, huu mtindo wa kulipana pesa bar naomba uundiwe vikao bungeni

    Nisiwachoshe sana, Sasa ilivyokuwa baada ya wife kutangulia kuhesabiwa, mimi nilipaswa kufuatia nyuma yake kwa maagano ya kumalizia kazi za watu nilizozianza kisha mapema sana tarehe 25 niwe village hata kwa kutumia magari ya magazeti. Nazungumzia kuanzia juzi hiyo!! Sasa bwana huu mtindo wa...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Huyu mgeni ana siku mbili tu hapa kwangu lakini nimemchoka

    Habari, Kuna jamaa yangu kaja kutafuta maisha hapa mjini, sasa aliniomba afikie kwangu kwa muda anajipanga, nami nikaona sio mbaya sababu maisha ya town ni kubebana tu hata mimi nilivyoingia mjini nilibebwa na jamaa yangu mwingine. Kero ya huyu jamaa yangu sio mstaarabu yani, kwanza analala...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mtoto wa siku mbili atupwa chooni

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera limefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga aliyekuwa ametupwa chooni jana tarehe 01 Desemba, 2021 huko wilayani Karagwe kata ya Bugene katika Mtaa wa Lukajage. Mtoto huyo wa Kiume anayesadikiwa kuwa na umri wa Siku Mbili alitupwa katika choo hicho na mtu...
  13. Leak

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba, siku mbili za miujiza ulizotuahidi tunakukumbusha zimekwisha

    Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa. Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Niger: Watu 69 wauawa katika shambulizo. Serikali yatangaza maombolezo ya siku mbili

    Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tumbo la mwezi kwa vigoli (Dysmenorrhoea) iwe sababu maalum ya kukosa mahudhurio ya darasani siku mbili kwa mwezi

    Wanawake na mabinti wengi walipitia ama wanapitia maumivu ya tumbo la mwezi Dysmenorrhoea kila mwezi. Maumivu haya yana athiri uwezo wa mwili kisaikolojia, fizikia hata kujichanganya na wenzako inakuwa shida. Wengi hasa hupata maumivu haya siku moja au mbili ambazo wengine hutapika na tumbo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

    Mwaliko uliletwa haraka haraka, kana kwamba kuna dharura! Sasa mama ameamua kuitikia mwaliko huo wiki ijayao. Haieleweki yaliyokuwemo ndani ya barua ile iliyowasilishwa kwake Dar es Salaam yalihitaji atembelee haraka hivyo; bila shaka ni ya manufaa makubwa kwao; na pengine na kwetu pia hadi...
Back
Top Bottom