siku hizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hata uhudumu wa mabasi unatakiwa uwe na degree

    Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo. Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation, Procurement, Account, Marketing au Business Administration. Yaani wanataka wahudumu wasomi na sio...
  2. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  3. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi?

    Kumpata mwanamke mwema siku hizi ni kazi, lazima umuibe kutoka kwa mwanaume mwingine asiyejali thamani ya alichonacho!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unique Sisters wako wapi siku hizi?

    Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini? Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan. Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Taribo West wa Nigeria, siku hizi ameokoka na ni mchungaji

    Taribo West mchezaji wa zamani wa Nigeria kwa sasa ameokoka na ni mchungaji kanisani kwake. Kanisa lake ni la miujiza na limeanza kuwa na waumini wengi siku baada ya siku. Taribo alijipatia umaarufu akiwa anacheza soka, huku akiwa na style yake ya kusuka nywele na kuzipaka rangi ya kijani.
  6. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

    Mimi naanza na Doto James Mghosha. Huyu alikuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha, alilitumikia Taifa lwa uzalendo mkubwa sana. Kwasasa simsikii kabisa sijui yuko wapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waganga wa siku hizi wamekuwa wahuni

    Zamani ukienda kwa mganga masharti uje na mbuzi mweupe au jogoo mweusi. Sasa hivi wamekuwa na mbinu geni. Nimesogezewa hii habari leo Kuna huyu mganga huko Arusha anaitwa Minja. Sasa wee jiulize tu tangu lini mchaga akawa mganga. Yani Minja anatatua wateja marynder kama masharti ya matibabu...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi wanadekezwa sana

    Wazazi tuache kuwadekeza watoto wetu ndo Mana matukio ya ubakaji na ulawiti yanaongezeka. Leo nimeenda kumtembelea jirani yangu ni family friend nimemkuta yupo sebuleni na mtoto wake wa kiume wa darasa la sita afu mama amekaa kihasara tu mtoto anayaona mapaja ya mzazi wake baada ya kuingia Mimi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi wamebadilika

    Anaandika, Robert Heriel 1. UKWELI, KUJIAMINI NA MSIMAMO VIMEPUNGUA Ilikuwa ni Tabia ya mwanaume halisi kusema Ukweli pasipo kupindisha pindisha maneno bila kujali ataonekana vipi. Wakati Kwa Mwanamke ni Haki yake kuongea Kwa kuangalia ataonekana vipi kwani lengo la Mwanamke ni kupendwa. Kwa...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magari mengi ya serikali siku hizi wanaweka tinted kali? Wanaficha nini?

    Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
  11. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kwanini nashauriwa nioe?

    Habari wana Jf, Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa Sasa imekuwa kawaida mwenye nyumba kunitania kila siku kwamba nioe (mwenye nyumba wangu ni mtani wangu kikabila)...
  12. The Eric

    JamiiForums Tanzania Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

    Bila discussion wakuu, Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote. Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika...
  13. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

    Habari za leo wana JF? Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa. Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Elimu imekuwa rahisi sana siku hizi inakuwaje kwenye shule nyingi division one zipo za kumwaga?

    Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha kizazi cha machawa wasio na ajira Binafsi ifike hatua mtihani isiwe kigenzo cha kujua uelewa wa...
  16. The Eric

    JamiiForums Tanzania Kuoa Kumbe Siku Hizi ni Upumbavu Kabisa

    Wakuu! Sasa nazidi kuamini wanawake ni fwisi samahani niliteleza mkono yaani hizi nilimaanisha ni fisi. Yaani mwanaume ukiwa imara lazima mwanamke atakuangusha tu, tena anakuangusha pale pesa inapopelea kudadeki. Umezoea kuacha 10,000 jaribu siku useme leo sina kitu nunua hata mboga kidogo za...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi kuna majina ya nyongeza kwenye Ajira Portal za Serikali?

    Habari zenu wanaJF Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina. Swali langu ni kwanini wa-set...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawana akili. Pima akili yake kabla hujadate/zaa naye

    Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu... "Ama kweli nimeamini ndoa ndoano, mungu nisaidie mimi mja wako" "Hivi jamani hapa kweli nina mume?anarudi saa 4 usiku eti alikuwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
Back
Top Bottom