sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  2. JamiiForums Sijawahi kuona mzungu akitafuna mfupa wa nyama

    Wakuu Hivi wazungu huwa hawali nyama zenye mifupa kama sisi waafrica?
  3. JamiiForums Sijawahi kugundua SINGELI ni tamu

    Nimetoka Dodoma hadi naingia Dar njia nzima namsikiliza Dogo Patel yaani jamani singeli tamu 💃💃💃💃
  4. JamiiForums Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  5. JamiiForums Shikamoo Malaria, aiseeh! Sijawahi kuumwa hivi. Siku tatu kama mwaka.

    Mabibi na Mabwana hamjambo! Pasaka iliisha vizuri Kabisa. Siku hiyo tulikutana ndugu wote maeneo ya Msasani beach Club. Kama mnavyojua Taikon Hana gari, sasa ndugu zangu wale kidogo wengi wao walikuja na Magari Yao. Nami kujilizajiliza nipande Magari ya watu kidogo naonaga shida kidogo. Ni...
  6. JamiiForums Sijawahi kumtukana mwanamke

    Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija...
  7. JamiiForums Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  8. JamiiForums Huyu ndiye mwanamke niliyempenda katika maisha yangu. Huwezi amini sijawahi hata kukutana naye kwa abahati mbaya. Sylvia huna baya

    Huyu ni mwanamke wa kipekee sana. Sylvia hana baya. kichwani yuko vizuri. Naamini ningekuwa na wadhifa ningempata. bahati haipo upande wangu. Huyu dada nimemzimia sana. Rangi yake, upstair dah! inauma sana.
  9. JamiiForums Exim bank huduma yenu ya app hairidhishi, technical team boresheni hili

    Habari za Kwenu Wadau! Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee .. Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli...
  10. JamiiForums Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

    1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha? 2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa...
  11. JamiiForums Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

    Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa wenye utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
  12. JamiiForums Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

    Anaeleza ujinga wake mbele ya wazazi na watu wanaoheshimiana nao Angalia kwenye video. Kama mzazi nimeumia sana
  13. JamiiForums Sijawahi kumkubali Mbunge Mrisho Gambo na hata Yeye anajua, ila leo niseme tu RC Makonda na hao Madiwani mmezidisha Chuki juu yake

    Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
  14. JamiiForums Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  15. JamiiForums Sijawahi sema refa sio kocha toka nianze kufundisha hata kama anapuliza filimbi kama anachezesha ngoma. Lakini kwa jana nawaachien wananchi

    Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme...
  16. JamiiForums Vita vya kudumu Somalia sijawahi kuvielewa sababu zake, ni kama walikuwa wamechanganyikiwa

    Wakuu, hivi kuna mtu anaelewea kwa nini Somalia walipigana vita vibaya hivyo kama wendawazimu kwa miongo yote hiyo wenyewe kwa wenyewe? Sehemu nyingi zenye vita watu wakipagana huwa sababu zinatolewa labda ni madini, mafuta, ardhi au dini lakini hawa Wasomalia hivi vyote hata hawakuwa navyo...
  17. JamiiForums Sijawahi ona mtu ameandika JF kujisiifia amepeleka mtoto English Elementary ila Wazee wa Kayumba ni taarab kila kona ili wapate faraja ya uamuzi mgumu

    Ndugu yangu, kila mtu afanye kwa uwezo wa mkono wake unapofikia. mbona wewe ukienda pub kuonja kidogo, unavutiaga watoto wazuri wa gharama ya juu, ushawahi kusikia DJ au bartender analalamika kuwa unapoteza pesa hapo 🤣🤣
  18. JamiiForums Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=. Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
  19. M

    JamiiForums DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana. Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
  20. JamiiForums Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

    Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…