siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

    Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

    Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi. Mienendo na...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Hofu miongoni mwa wana CCM ni udhaifu wa siasa za Hayati Magufuli: Rais Samia anajiamini

    Kumeibuka mada na mijadala mingi hapa JF na mitandao ya kijamii kutoka miongoni na wafuasi wa CCM inayokosoa, kulaani au kulalamikia mwenendo na misimamo ya utendaji wa Rais Samia. Zaidi kinachoendelea kwenye mijadala hii ni kumtaka Rais Samia “avae mabuti” na kupita njia za mtangulizi wake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarak Jukwaa la Siasa!

    Nawatakia Sikukuu ya Eid El Fitr yenye baraka na furaha wanajukwaa wote wa hapa Siasani. Eid Mubarak!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuingiza Siasa kwenye taaluma ya Uuguzi

    Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi. Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Husna Saidi akiwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa itapendeza sana

    Huyu mama ana msimamo usioyumba tokea enzi za hayati Magufuli hajawahi kujipendekeza. Tukumbuke kuwa hata mgombea ubunge wa Chadema kule Chato alipata kura nzuri tu. Na hata Tundu Lisu wakati wa kampeni Chato na Nkasi ndio maeneo aliyopata mapokezi makubwa sana. Bawacha fikirieni kumpa huyu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  8. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  9. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  10. JamiiForums Tanzania Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aliwahi kusema "akili ndogo inaongoza akili kubwa" - siasa hizi bhana

    Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa. Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wavamia CHADEMA Karatu ni muendelezo wa siasa zilizopitwa na wakati

  13. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Jeshi la Polisi katika Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

    Kukua kwa demokrasia katika nchi yenye mfumo wa vyama vingi kunategemea utendaji bora wa Jeshi la Polisi. Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi zimeweka bayana kuwa shughuli za kisiasa ni miongoni mwa mambo ya msingi katika jamii ya kidemokrasia. Hata hivyo, harakati za kisiasa zisipowekewa...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni lini propaganda zitakoma kuwa ndio injini ya kuendesha siasa za Tanzania?

    Kwanza nianze na ufafanuzi wa kimantiki wa neno utawala, utawala(Excutive) katika nchi ni genge(syndicate), kwa maana ya kuwa ni kundi la watu lililojumuika pamoja na kujiwekea mienendo, kanuni na utaratibu wa kuongoza na kutawala nchi. Na genge hilo lina msambao kuanzia ngazi za juu kabisa za...
  15. JamiiForums Tanzania Sasa ni Dhahiri Mbowe ni Mwalimu wa siasa Tanzania

    Ukiachilia mbali kwamba Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA , Chama cha siasa kilichoshambuliwa zaidi barani Africa kikifuatiwa na ANC ya Africa Kusini enzi za makaburu , Lakini pia duru za kisiasa za dunia zinamtaja Mbowe kama Mwenyekiti bora wa chama cha siasa kuwahi kuwepo barani Africa tangu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam vs Wazee wa Dodoma - wapi wanajua siasa?

    Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam. Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk. Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Siasa za huko ni ngumu Rostam, CRDB na Dangote walishindwa

    Nimekuwa nikisikiliza watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu ile kauli ya Uhuru. Wengi wanasema "afadhali Sasa nikafungue biashara yangu Kenya" Unajiuliza biashara gani hiyo wewe kapuku unaenda kufungua huko? Huko siasa zao ni ngumu Sana utaweza kweli ikiwa ma-tycoon wa biashara walishindwa...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi ni lazima iwe na maono ya kimaendeleo kwa miaka mingi. Tunafanya mambo kwa kukimbia kimbia tu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema kwa sasa Tanzania haina maono ya muda mrefu kwa ajili ya Maendeleo ya Wananchi bali kuna Ilani za Vyama na mipango ya muda mfupi. Amefafanua kuwepo kwa maono ya muda mrefu kutasaidia hata kumpima Rais anapoingia Madarakani kwa namna...
  19. JamiiForums Tanzania Ukizielewa Siasa za Tanzania huwezi kupata tabu. Hongera Rais Samia kwa kuzielewa vyema Siasa za Tanzania, nasema kazi iendelee

    Amani iwe nanyi wadau, Kama nilivyosema kwenye kichwa cha mada yangu hapo juu, Ukizielewa vyema Siasa za Tanzania , huwezi kupata tabu, na kwa siku chache alizokaa madarakani, napenda kusema Mama Samia amezielewa siasa za Tanzania vizuri sana, hivyo napenda kusema wazi, inawezekana kwenye...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tanga na siasa za kujipendekeza

    Kule Kigoma kuna kampeni zinaendelea katika majimbo mawili likiwemo jimbo la Buhigwe. Ajabu ya siasa za nchi hii eti watumishi wanatoka kwenda kufanya kampeni huko Kigoma. Eti wametoka watu kazini wakapige kampeni mfano mkuu mmoja wa shule katika jiji la Tanga (jina lake na shule yake kwapani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…