Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Ile kauli ya 'anaupiga mwingi' inaweza kuwa na ukweli kuliko tunavyodhani. Yaani ni mchakamchaka wa kufa mtu.
Ikitokea tu kuna mjadala wa moto unaendelea basi ndani ya siku mbili tatu unakua umezimwa kwa matukio mengine ya moto zaidi
Mara hawa wanadai Katiba Mpya huku Sabaya anakamatwa, kule...
Hili ni tatizo ambalo naona linazidi kukomaa, siasa za wanaharakati wa sasa iwe chama tawala ama wenye mirengo ya upinzani, wamekuwa ni watu wenye hoja za ku attack personality zaidi na kukosoa kila jambo.
Yaani kama ni mwanaCCM anaona harakati zake hazijakamilika bila kumtukana Mbowe au Lissu...
Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara.
Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana na politics. Ukileta conversation ya politics watu wanakua active kiasi hata cha kutaka kupigana...
Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba.
Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa.
Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi?
Zuio la...
Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua COVID-19 hiyo. Nikabugia chupa langu. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita?
Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo...
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema.
Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo.
Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi.
Maandamano na operasheni zilitawala kiasi cha kumtikisa Jakaya. Pamoja na hayo kwa kiasi fulani harakati...
SIASA NI AJIRA, KUZUIA MIKUTANO NI KUNYIMA KUNDI FULANI ULAJI
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Moja ya mambo ambayo nilipishana na JPM Kwenye utawala wake ni suala la kuzuia mikutano ya Kisiasa ya nje hasa Kwa wapinzani huku CCM wakiendelea na mikutano kwa mwamvuli wa kukagua miradi ya serikali...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi.
Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na kugawa watu.
Mwenye mawazo tofauti sio adui. Anawaza tofauti na wewe tu.
Kapitia ukatili wake JPM, angalau ametuondolea mlundikano wa vyama vya siasa ambavyo vilikuwa havina maana. Leo hii hatuna tena CUF, UNDP, NCCR-Mageuzi & ACT kwa Tanzania bara.
Kweli kila jambo lina faida na hasara hamna baya la moja kwa moja, uvumlivu wenu WANACHADEMA leo umekuwa matunda kwa...
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM...
Habarini za leo ndugu WaTanzania,
Convincing power ni uwezo wa kutumia ulimi wako vizuri kwa kutumia lugha ya kawaida isio kali kumshawishi mtu akupatie kile unachokihitaji.
Mtu mwenye convincing power hatumii lugha za ajabu hujenga hoja kwa kutumia lugha ya kawaida sana isiyo kwaza wala...
Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia
Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
Tunafundishwa katika chumba kimoja toka shule ya msingi Hadi sekondari na vyuo. Katika maisha ya shule na vyuo watu wenye akili mara nyingi uwa na tabia yakuburuzwa kimaarifa na walimu au watu wengine. Ni watu wanaojua mema na mabaya, ni watu wamejaaliwa kuona mbele sana. Wengi uishia kufukuzwa...
Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa.
Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi.
Miradi kichefuchefu nani husababisha.
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.
Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika...
Acheni kujichetua akili na kujifanya hamjui kitu.
Mmesahau operation Sangara ilivyokuwa inasababisha watu wasifanye shughuli za maendeleo?
Mmesahau yule kijana mmachinga wa Morogoro alivyouwawa sababu ya mikutano yenu?
Kubalini ukweli tu mikutano ya siasa inasbabisha kuingilia rabiba za watu...