siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

    Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa. Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Afrika inaongozwa na njaa. Hata wapinzani wanatumwa na njaa

    Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu. Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale...
  3. JamiiForums Tanzania Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

    Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na kwenye siasa zetu kuna hidden position (vyeo vya kisirisiri)?

    Ukichunguza kiundani zaidi nchini Mwetu utagundua Kuna Vyeo ambavyo havisemwi na havipo kikatiba ila kiutendaji vipo Tuangalie mifano hii Makonda na Unaibu rais Makonda katika ubora wake alikuwa zaidi ya mkuu wa mkoa wa kawaida maana alikuwa na uwezo wa kumfukea hata Pm hivyo alikuwa juu yake...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nini wajibu wake?

    Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini. Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye. Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
  6. I

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally Kakulwa mwanataaluma ya sayansi ya siasa asiyejua siasa

    Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu. Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa. Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya gani tukifanya siasa za kuvumiliana pasi na kuumizana?

    Kwanini CCM hutumia gharama za aina yeyote ili tu kubakia madarakani kipi wanahofia endapo watapatikana wengine kuongoza nchini? Yanini tunakubali kujiandalia kisasi cha haja kwa mambo ambayo yanaepukika jsmani? Kwani leo akitawala CCM na kesho NCCR keshokutwa Chadema kuna ubaya gani? Hivi...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika tuige siasa kama hizi

  9. JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania isije kupata maendeleo chini ya siasa monopoly za CCM?

    Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba 1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea. 2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM. 3. Akaja Mweshimiwa JPM na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangechambua siasa na uchumi kama wanavyochambua mpira tungefika mbali

    Habari zenu wakuu, Bila kupoteza mda niende kwenye hoja yangu, miaka ya hivi karibuni kumekua na utitiri wa radio nyingi za masafa ya FM, kama tunavyojua dhima kubwa ya vyombo vya habari ni kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii. Kwa upande wa Redio zetu za Tanzania vipindi vya michezo...
  11. JamiiForums Tanzania Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria? Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani Tanzania wanatamani kufanya siasa kwenye mazingira laini bila kuyalainisha!?

    Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono. Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko...
  13. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Siasa sio Uadui, fitina, majungu, ugomvi wala chuki

    Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali, Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini

    Habari za jioni Wanajamii, Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

    Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
  16. JamiiForums Tanzania Sitaki niwe mnafiki; siasa za Vyama vya Upinzani zinatakiwa kubadilika kimtizamo kulingana na nyakati

    Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo. Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
  17. JamiiForums Tanzania Tuunde chama cha siasa cha mtandaoni

    Siku hizi dunia ni digital. Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana. Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kakangu ameamua mwanae abadili kozi sababu ya Bodi ya Mikopo kuendeshwa kwa siasa!

    Kakangu ana mwanae ambaye anaingia mwaka wa tatu kozi ya Udaktari (MD) kwa chuo ambacho nisingependa kukitaja. Mwanetu huyo pamoja na kuomba mkopo mara ya tatu mfululizo amekuwa akinyimwa. Siku zote amekuwa akilalamikia sana vipngozi wa Bodi ya Mikopo na hapa viongozi wetu hawa. Amekosa upendo...
  19. JamiiForums Tanzania Siasa za STORY: Story za Hali ya Hewa?

    Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani.. 1. MAANA...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa ya ujenzi wa madarasa: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya na ujenzi unaohitaji kukamilishwa

    Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa fedha lakini hivi karibuni Serikali imepata fedha ambazo zimeelekezwa katika ujenzi wa madarasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…