siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usihudhurie Baraza la Iddi ili kukomesha siasa katika dini

    Ndugu Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Zilikuwepo taarifa hapa nchini kuwa Mwezi wa kuhitimisha mfungo mtukufu wa Ramadhani umeonekana katika baadhi ya maeneo nchini (Kagera ni mmojawapo) jioni ya tarehe 1/5/2022, Lakini viongozi wakuu wa BAKWATA hawakuutangazia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM mnapongeza wafanyakazi kuongezwa mishahara kwani imeongezwa tayari? Acheni siasa za kitapeli

    Wewe mwenezi wa CCM taifa unajitambua kweli? Mishahara haijaongezwa maana bado kuna majadiliano wewe unaleta uongo.
  3. JamiiForums Tanzania CCM ifanye siasa za haki

    Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni. Kipaumbele itakuwa kupambania Katiba mpya na mikutano ya siasa ya hadhara.

    Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini Lissu asisitiza Katiba mpya, atangaza kurejea nchini
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini siasa za Tanzania zimeegamia kujadili yaliyopita

    Habari wakuu, Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande wa ulipaji kodi pekee nawapa chao nabaki na changu. Mapema leo nimeona nami nitoe maoni yangu kuhusu...
  6. JamiiForums Tanzania Njiapanda kuelekea siasa safi na uongozi bora: Kutoka kutumia 'msuli' hadi siasa za 'ushawishi'.

    Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana. Angalau moja ya mambo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wadau wa Demokrasia: Kikosi Kazi chawaita wenye maoni kuyawasilisha

    Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi kilichoundwa Masuala makuu 9 yaliyoainishwa na Kikosi hicho ili kuwasilishwa Serikalini na kufanyiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga halihitaji siasa; Hatua za kuwapanga zilizochukuliwa sasa ni sahihi

    Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA. Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kufanya siasa yahitaji afya ya akili kubwa, Uongozi wa ACT Wazalendo chini ya Zitto, akili hiyo hawana, ila kutumia frusa wanaweza!

    Wasalaam Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi! Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana, Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
  10. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Siasa; Hakuna Siasa bila uonevu

    Herehoa! Siasa zilianzishwa Kwa maslahi ya viongozi na watu wapendao utawala! Biashara zilianzishwa Kwa maslahi ya wafanyabiashara kujipatia faida! Mtu huanzisha kitu Kwa maslahi yake au kundi litakalomuunga Mkono! Mtu Fulani huweza kuamua kutaka kuongoza wengine na kupigania maslahi ya jamii...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Rais bora hakipimwi na wanyonge, Wanyonge hawaelewi chochote kuhusu siasa wala uchumi

    Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge wanasemwa kuwa ni watu wa kipato kidogo wasio na ajira rasmi wala elimu kubwa, hata hapa JF...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi. Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa na Dini katika moja na kuja kwa Maitreya

    Toka wakati ule wanadamu wameanza kusimika tawala zao duniani siasa na dini ilikuwa katika sarafu moja. Mfalme alikuwa ni mkuu wa serikali na kuhani kwa wakati mmoja, ni katika nchi ya Israeli pekee mfalme hakuruhusiwa kuwa kuhani, na kuhani hakuruhusiwa kuwa mfalme. Hizo nyanja mbili...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa: April 2020 imebeba ujumbe mzito!

    Katika aliyofanya Rais SSH tangu achukue madaraka ni 'kuacha watu waonge' . Rais alisema watu wakiongea viongozi wanaelewa nini kinaongelewa. Katika kufungua uhuru wa maoni/habari uliofinyangwa miaka sita amefanya vizuri. Kwa hatua hiyo Rais anapata faida ya ziada ya kuelewa kilichopo akilini...
  16. JamiiForums Tanzania CCM ya Kinana lazima italipa kisasi

    Ni suala la wakati tu. Kulipa kisasi ni hulka yetu wanadamu na kamwe asikudanganye mtu eti hutegemea ntu na ntu. CCM ya kina Kinana ya sasa baada ya kupitia nyakati ngumu kwao ima walionewa ama ilikuwa stahiki yao la mno na hakika ni kwamba iwe kwa kutaka wao ama kwa kulazimishwa na chawa wao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanavunja sheria kuwa na jeshi la green guard. Sheria ya vyama vya siasa imezuia kuwa na majeshi

    Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimezua wazi wazi vyama vya siasa kuunda vikundi vya majeshi. CCM wanakaidi hii sheria na wanaunda majeshi
  18. JamiiForums Tanzania Siasa za Kunguru zinakarahisha mno!

    SIASA ZA KUNGURU ZINAKARAHISHA MNO! Anaandika, Robert Heriel. Inaelezwa kwamba kiumbe wa pili kujiingiza kwenye Siasa baada ya Nyoka alikuwa Kunguru. Na inatajwa kuwa ili uwe mbobevu katika Siasa lazima uzimudu mbinu za viumbe hao. Sijamtaja Panya na Siasa zake za kung'ata na kupuliza, Leo...
  19. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

    Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani. Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Abdulrahman Kinana, nguli wa siasa nchini

    Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…