siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kuvuliwa madaraka viongozi wa CHADEMA si za kweli; hakuna barua iliyotolewa na Msajili wa vyama vya siasa

    Vyombo vya habari vya Tanzania havina udadisi. Magazeti yameandika habari ambazo hata msajili wa vyama hana habari nazo. Nimefuatilia nakubaini kwamba hakuna chombo cha habari chenye maamuzi haya na wala hakuna barua ambayo Mchome amekubali kupewa nakala. Hizi habari zimechapishwa kuwapima...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama wala utawala wa haki na sheria tena nchini

    Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini. Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chadema contract very good Historian aandike historia ya Chadema na magumu ya siasa wanazozipitia toka ianzishwe mpaka sasa

    Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective. Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
  4. Fund man

    JamiiForums Tanzania Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo. Kelele nyingi...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  7. excel

    JamiiForums Tanzania Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sakata ya Simba na Yanga ni mpango ili kuwapumbaza watanzania wasifatilie yanayoendelea kwenye siasa

    Mods msiufute huu uzi. Ukitulia na kutafakari Kwa utulivu hilo swala ya SIMBA na YANGA kusuguana kuhusu huu mchezo wa marudiano utagundua kuwa, 1. Ni mpango uliosukwa kwa makusudi ili kuwafanya WATANZANIA wawe bize kujali huu upuuzi na kujiweka mbali na siasa ambazo kimsingi ndio ukombozj wa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siasa zimepoteza wenye vipaji maalumu

    Hawa ni wale watu ambao wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali zaidi na kusaidia nchi kwa ujumla wake. Tanzania wamekuwa machawa, wala rushwa , wana dharaulika na wengine kutaka kuuliwa
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siasa za bongo ziko very predictable!

    Kila mtu alijua baada ya mangi kunyimwa nafasi ya kuliongoza duka la ukoo kwa mara nyingine, atatengeneza mkakati ambao utawahusisha wafanyakazi wa dukani waliokuwa mabest zake ili kumpa wakati mgumu mangi mpya aliochaguliwa na wana ukoo. Kila mtu alijua wafanyakazi hao watajitangaza kuacha...
  13. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Lindi yaipongeza Kilwa kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa chini ya Ilani ya CCM ya mwaka 2020–2025...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu akachezea Simba na Yanga kwa wakati mmoja na kote huko akajitoa kwa moyo?

    Baada ya ujio wa Hon Lissu Pale CDM Nimejiuliza hili swali. "Je inawezekana mtu akachezea simba na yanga kwa wakati mmoja na kote huko akajitoa kwa moyo?." Ikiwa inawezekani basi kuna namna watu waliamua kucheza na akili za Watu kwa mgongo wa siasa. System Authority Power Chadema ina hold...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wanajitahidi wenyewe kuanzisha nyuzi za Kujifariji!!!😆😆😆 Lakini Wapi, Kwisha Habari

    Wamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa; KUNA MSHAMBA FLANI ATATEMA AU KUTEMESHWA BUNGO MUDA SI MREFU. Uongozi si suala la kukariri vifungu tu, Bali ujanja pia. Ukitoka zako kijijini huko na ushamba...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vingeweke nguvu kwenye mabadiliko ya kiuchaguzi ili muweze kufanya ushindani wa kweli na kujenga demokrasia

    Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo. Kwanini vyama vya kisiasa...
  18. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wachambuzi wa siasa za maharibi!

    Tarehe 7 May Bunge la Umoja wa Ulaya litasimamisha bunge la kawaida kwa muda masaa 12 kujadili Tatizo Antipas Tundu Lisu kama mkutano wa dharula!Je hii inamadhara yoyote kwa Tanzania au wanaongea yanaisha na Maisha yanaendelea Tanzania?Na je kama kuna madhara ni madhara gani kiuchumi kisisa...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
Back
Top Bottom