Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Jamaa huyu ni Michael Langley kama kamanda mweusi wa Amerika kwa Afrikom. Wakati wa Imperialists White wanataka kuondoa viongozi wa Kiafrika hutumia uso mweusi. Mtu huyu anataka Ibrahim Traore, kiongozi mkubwa wa Afrika aliuawa. Wacha tumfunue mwongo huyu mweusi wa Amerika.
Wamekosa watu huko, mwembe yanga, wakatuhumu watanzania ni wa Hovyo, eti wanapenda sana simba na yanga!,
Hawa watu ni wajinga kiasi gani, kwani wanashindwa kutofautisha ya kwamba kuna wakati wa michezo na wakati wa siasa, nikimaanisha vyote hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote lile...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation
Mziki
Movie
Mochezo
Uchoraji
Media n.k
Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote
Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna.
Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao
https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba viongozi wangu wa dini wasitumie madhabahu kama majukwaa ya kisiasa kwani waumini tunao Sali ni wafuasi wa vyama mbalimbali hivyo matamko na misimamo ya kivyama yanatugawa na kutuchanganya sisi waamini.
Chondechonde nawaomba viongozi wangu wa kidini waendee...
Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.
Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha
Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani
Tec mnaweza...
Viongozi wa Chama na Serikali wakiendelea na kauli hizi za kishetani tutawaka wafanye yafuatayo:-
1. Waagize kwenye ibada kusiwepo na kuwaombea viongozi wa Serikali sababu ni kuchanganya DINI na SIASA.
2. Serikali wanapofanya mikutano, vikao, sherehe wasialike viongozi wa DINI kwa ajili ya...
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.
Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.
Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .
Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini...
CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina.
Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
Mambo mengi yanayoendelea kwasasa hapa Tanganyika yananikumbusha mbunge mmoja wa bunge la katiba aliyesema kuwa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haikupatikana kwenye karatasi.
Mwalimu Nyerere alipata uhuru wa Tanganyika kwenye karatasi tena bila damu na kwa kuandaliwa kabisa awe kiongozi...
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la...
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...
Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977
Utangulizi
Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.