Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Hii si habari mbaya kwa mama kupatiwa mlango wa kutokea:
Wanasiasa waachwe wafanye siasa!
Heko Dr. Nchimbi rhumba liendelee:
Kazi iendelee.
"No reforms no election!"
Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa!
Aibu yenu!
https://twitter.com/EggleVuvu/status/1911627918297510122?t=DZmaso4Rq_BLUHV-3rc_vA&s=19
Yupo wapi huyo?
Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais?
Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi?
Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :-
1. Kuna dawa muhimu zimetolewa
2.Gharama zimeongezeka
3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa
Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
Kama dini ni muongozo wa haki na maadili katika jamii inakuajae nchi zenye kiwango kikubwa cha raia na viongozi washika dini ndizo zinazoongoza kwa uvinjifu wa haki za watu, rushwa na ufisadi !
Ni wazi pasi na shaka kwamba dini haichangii kwa namna yoyote kustaarabika au kustaarabisha jamii.
Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe.
Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa?
Ni G55 au ule upande wa no reform no elections?
Je,
ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
Na. Alloyce, P.R.
Utangulizi
Uchaguzi Mkuu wa 2025 unatarajiwa kuwa mojawapo ya matukio muhimu katika historia ya siasa za Taifa letu (Tanzania). Katika mazingira ya kisiasa yanayobadilika kwa kasi, vyama vya siasa vinakabiliwa na changamoto ya kujenga imani kwa wananchi, kuongeza ushawishi na...
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni kujisalimu, kutii, na kuishi kwa amani kwa kumtii Mwenyezi Mungu.
Mambo ya Msingi katika Uislamu...
Wakuu habar zenu
Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano
Sharti awe mkoa wa mbeya
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhani amewaasa Viongozi wa Jumuiya ya Vijana ngazi zote ndani ya mkoa wa Kagera kufanya kazi kwa bidii ili kuzitendea haki nafasi walizonazo kwenye maeneo yao, huku akisisitiza kwamba hiyo ndiyo njia pekee ya kulinda imani waliyopewa na vijana...
Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
Siasa ni unafiki in general ila Siasa za kiafrika ni ushetani overall.
Ushetani mtupu usiojali utu.
Siasa ni mchezo in general ila siasa za kiafrika ni vita overall.
Vita ya kulinda kiti hata kama itahitajika damu kumwagika.
Siasa ni wizi wa fikra isiokukubali in general, ukishindwa kuiiba...
Katika moja ya ushauri wa G-55 kwa Lissu ilikuwa ni kwamba kitendo cha kuzuia uchaguzi kinaweza kufanya wanachama watende makosa ya jinai.
Lissu kwa ujuaji au kiburi, akawaita G-55 wajinga, naona sasa anavuna alichopanda
Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya siasa za kumaliza watu wa CCM kwa kutumia Kamati za Bunge huku yeye akıla vinono. Hali kadhalika...
Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu.
Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa.
min -me
LOTH...
Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania.
1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo
Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!!
Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni ujasiliamali!!
Sasa Tundu Lissu kawaumbua ndani ya miezi 2 tu
Miaka 30 ya maigizo na kuuza utu
Uzuri...
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?
Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi
Mrema ni genius political mind
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.