Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Katika moja ya ushauri wa G-55 kwa Lissu ilikuwa ni kwamba kitendo cha kuzuia uchaguzi kinaweza kufanya wanachama watende makosa ya jinai.
Lissu kwa ujuaji au kiburi, akawaita G-55 wajinga, naona sasa anavuna alichopanda
Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya siasa za kumaliza watu wa CCM kwa kutumia Kamati za Bunge huku yeye akıla vinono. Hali kadhalika...
Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu.
Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa.
min -me
LOTH...
Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania.
1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo
Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!!
Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni ujasiliamali!!
Sasa Tundu Lissu kawaumbua ndani ya miezi 2 tu
Miaka 30 ya maigizo na kuuza utu
Uzuri...
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?
Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi
Mrema ni genius political mind
Inasikitisha, G55 Press conference ya nin? Itasaidia nini kuwaweka sawa na chama chenu? kwanini msiwasiliane ndani kwa ndani?
na Lisu alifanya hayo hayo, na sasa mliokuwa viongozi mnafanya hayo hayo!
MNA TOFAUTI GANI NA CCM MNAYOILALAMIKAI
Laiti siasa ingeangaliwa ku muktadha wa timu za mpira wa miguu, basi CCM tunajua uwezo wao wa kusakata soka.
Timu hii ikiongozwa na nahodha machachari sana kutoka visiwa vya Zanzibar, je imetupatia matokeo tunayostahili? Au tuendelee kuipush zaidi?
Kwako mdogo wangu Lucas
Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !!
Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
Jukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa.
#NoReformsNoElection .
Huwezi ukatenganisha wanasiasa, na dini kwani hawa ndiyo vibaraka wa ukoloni mamboleo na wanyonyaji wakubwa kupitia zaka na kodi za Waafrika.
Makanisa na misikiti hawalipi kodi, serikali inawaacha tu ili wachungaji na masheikh waje kuwasaidia kuwahubiria Waafrika yaliyomo kwenye vitabu vya dini...
Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama.
Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania.
Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na...
Niliachana na mambo ya Dini huu ni mwaka wa 10. Nilikuwa na amani na furaha wakati wote. Nilijawa na upendo kutetea lililo la haki na kutumia hekima na busara wakati wote.
Niligundua mapungufu makubwa yaliyokuwa yanazikabiri hizi imani za kidini zote mbili.
Mimi namuamini sana Mwenyezi Mungu...
Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??.
Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!.
Ama KWELI, No Reforms, No Election
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.