siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Mganguzi

    Mwambieni tundu lissu siasa ni kumfarakanisha adui ili umnase kwenye mtego wako ,ccm ya sasa imeungana sana inahitajika mkakati wa kuwafarakanisha.

    Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
  2. B

    CHADEMA ndani ya mioyo ya CCM, siasa si ugomvi. No reforms no election inatuhusu sote!

    Kwa hali hii: Sote ni ndugu kwa nini tusiwe na agenda moja za haki? Duniani sote wapita njia.
  3. T

    Tupige siasa tuzodowane ila amini ulinzi ni mkali acha kabisa

    "Nasemaje tupige siasa tuzodowane ila kwenye akili. Kumbuka ulinzi ni mkali, haijapata kutokea. Sio mipakani, sio kwenye mitaa, sio kwenye taasisi. Bwana weee, usijichanganye, utakutana na bibi na bwana. Mwana, utalia tena, sali. Wasikubambe unahujumu uchumi au una panga mambo maovu. Ukorudi...
  4. Frontnn

    Mwelekeo wa Siasa za Tanzania: Mustakabali wa Taifa Katika Mazingira ya Sasa

    Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
  5. GENTAMYCINE

    Timu iko Mashindanoni mnaipeleka Bungeni Kutalii na kuichanganya na Siasa za Kikampeni kwanini isolate Matokeo ya Leo?

    Na kama haitoshi hadi Wachezaji muhimu muhimu wakawa wanapeana Namba za Simu na Watunga Sheria wenye Umri Mdogo (wa Jinsia tofauti na Wao) na wale ambao Umri ulishawaacha. Mpo Vitani huku mkijua anayewakimbizeni ana Nguvu ya Ziada kutoka kwa Mmiliki wa Chama chenye Rangi zinazofanana nao na...
  6. Lord Denning

    Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

    Yalianza kama masikhara ila sasa tuvumilie kuvuna matunda yake. Kuanguka kwa Tanzania ni suala lililochukua muda kidogo. Tuliopata nafasi ya kuonya, tulionya ili kulikomboa Taifa ila hakuna yaliyofanyika na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo. Ilianza kwa kuanza kutoa nafasi za utendaji...
  7. KakaKiiza

    Katika Siasa za Sasa je Wasira alitakiwa kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM?

    Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado anaweza kwenda na Kasi? Kama aliyekuwepo ana miaka 70+ Na akaona sasa niwakati wa kupumzika ila...
  8. -ArkadHill

    PreGE2025 Kumbe bado kuna siasa za kuleta lami na madaraja

    Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema. Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
  9. Paspii0

    Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: viongozi wa vyama vya siasa msiingilie majukumu ya watendaji wakati wa uandikishaji wa wapiga kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
  11. M

    Vijana wengi wa sasa CHADEMA hawajengi hoja, wanatumia jazba kujibu hoja

    Hivi ukipost kuhusu kuokosoa uongozi mpya wa chadema basi hujibiwa kwa kejeli badala ya hoja. Haya yanajitokeza ktk account mbali mbali ikiwemo Ngurumo katika hoja yake kuhusu hujuma anaetaka kufanyiwa mwenyekiti wa BAWACHA. Ukisoma comment za wanaCHADEMA utaona wazi kuna gap kubwa kati ya...
  12. Mshana Jr

    Bado CHADEMA inatawala medani za siasa Tanganyika

    Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi...
  13. B

    Mkutano wa Uchaguzi ulijaa Raia kutoka Asia ya Mbali na Uchina. Hii ina maana gani kwa siasa zetu?

    Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo. Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine. Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
  14. Genius Man

    Inasikitisha pengine wasanii wetu hawapo huru wameamua kujihusisha na siasa ili kulinda kazi zao na mali zao

    Hali halisi inavyoonekena kwa nje kwa upande wa wasanii wetu kuonekana wakijihusisha na siasa hasa wengi wao kwa asilimia kubwa kuonekana kuunga mkono chama tawala inaweza isiwe kama tunavyo fikiri kwamba labda wanapenda kufanya hivyo. Kwa mtizamo wangu nazani kwa mfumo wa siasa za hivi leo...
  15. Wakusoma 12

    Msajili wa vyama vya siasa kwanini CCM hawakufata katiba ya chama chao kumpitisha mgombea Urais?

    NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama. Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya...
  16. Manyanza

    Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza 🤔 Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  17. Tlaatlaah

    Uteuzi wa Dkt. Emanuel Nchimbi kama mgombea mwenza urais wa CCM uchaguzi mkuu wa OCT.2025, ni wa kisayansi katika siasa za kisasa.

    Kwanza umefanyika kimkakati, lakini pia umefanyika kwa muda muafaka kama surprise, lakini kwa kuzingatia sheria na katiba ya CCM, bila kuathiri kwa namna yoyote ile sheria na katiba ya nchi kuhusiana na masuala ya uteuzi wa wagombea uongozi na uchaguzi wenyewe. Azimio la kumuidhinisha Dr...
  18. K

    Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa wananchi watawaona maadui

    Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki. Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba kura zao mnajenga uadui ambao utakuwa mbaya kuutoa. Ushauri ni kwamba kuweni upande wa haki...
  19. G Sam

    Tuliokuwa ICU kuhusu siasa za Chadema kwa hiki kipindi cha miaka kadhaa hatimaye tumeponywa, Mbowe tutamheshimu kama tulivyoahidi

    Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  20. Mshana Jr

    Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

    Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
Back
Top Bottom