siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Wissa Joseph G

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa

    Napenda kufahamu ni jinsi gani hivi vyama vya upizani vinachangia Maendeleo ya nchi yetu .
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kuchanganya dini na siasa?

    Japo tunawaona kama watu wawili tofauti, wanasiasa na viongozi wa dini ni kitu kimoja au niseme mapacha walioungana kiunoni. Ukitaka kuliona na kulijua hili angalia yafuatayo: Wote, huvuna wasipopanda na kupanda wasipovuna. Mfano, wote wanatumia maneno hasa ahadi hewa na za uongo kuwaibia na...
  3. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi, Jeneral Jacob Nkunda awaonya Askari wa JWTZ kujihusisha na siasa

    Mkuu wa Majeshi Jeneral Jacob Nkunda, amewaonya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutojihusha na masuala ya kisiasa na jeshi halitasita kumfuta kazi askari atakayebainika kujihusisha na katazo hilo. Mkuu wa Majeshi Jenerali Nkunda ametoa onyo hilo alipokuwa kwenye Shule...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hovyo kushambulia viongozi wa dini nchini wanapozungumzia siasa

    Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina haki zote kutumia nafasi zao kuelezea hisia zao za mambo yote ikiwemo siasa na uchumi katika nchi kwa...
  5. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Kisa cha panya na hali halisi ya siasa za Tanzania

    Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti na akahudhuriq mazishi...mtego ulikuwa mbaya haukuacha manuscript Kwa hofu alienda kumdokeza kuku...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani cha siasa cha upinzani nchini kinafurahia zaidi anguko la chadema kisiasa kuliko vyama vingine na kinatarajia kunufaika na anguko hilo?

    Maana chadema is no more, sote ni mashahidi. Na wanachadema wote nchini wamekata tamaa kabisa, na wanajuta kupindukia kuchagua uongozi uliokosa mipango na maono ya kisiasa na kusababisha kuangusha gari lao la kisiasa, kwasababu ya kiburi, ubishi na ubinafsi wa dereva wao mpya. Kama mdau wa...
  7. galimoshi

    JamiiForums Tanzania Joto la ubunge jimbo la Tunduma, Momba lapanda joto, Silinde atuhumiwa kuhujumu Sichalwe

    Na Mwandishi Wetu-Momba JOTO kisiasa katika majimbo yaliyopo mkoani Songwe limeamza kupanda baada ya Mbunge wa Tunduma, David Silinde kudaiwa kuandaa vijana kumzuia mbunge wa Momba, Condester Sichalwe asihudhurie mkutano wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aniny Nndumi watamani kuwa kama Mizengo Pinda

    UKIMUULIZA mwanafunzi wa shule yoyote ya msingi kwamba ndoto yake anataka kuwa nani, atakutajia vyeo na kazi anazoamini kuwa nzuri, lakini hata kuambia anataka kuwa mkulima. Mtazamo hasa kuhusu kilimo, ndio umesababisha hadi leo sekta hiyo kuonekana ya watu wa chini, wanaoishi vijijini na...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu wasiogope siasa za ushindani

    Inawezekanaje Republican wamtoe Democrat kwenye uchaguzi na kubakiza vyama vidogo vidogo halafu watuambie wamefanya uchaguzi? Huo utakuwa si uchaguzi bali ni VICHEKESHO. Inawezekanaje SIMBA amtoe TEMBO kwenye mashindano na kuwabakiza digidigi, sungura, panya na nyani halafu atuambie kuwa...
  12. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtu makini sana, huwezi kujihusisha siasa za Tanzania

    Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa. Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate...
  13. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Babu kwa wanaCHADEMA katika Kipindi Hichi Kigumu: Mwenye Kusikia Asikie Lakini anayehitajika ni aliyeelewa

    Kama unashika bunduki na mimi nashika bunduki, tunaweza kuzungumzia sheria. Kama unashika kisu na mimi nashika kisu, tunaweza kuzungumzia kanuni. Kama wote tumekuja mikono mitupu, tunaweza kuzungumzia hoja. Lakini kama wewe una bunduki na mimi nina kisu, ukweli hauko tena katikati yetu—uko...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

    Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru. Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HAWA VIONGOZI WA SIASA WAJITAHIDI NA WAO KUWEMO KUNDI LA KUUMIA SIO KUJIFICHA NDAN WANAONGEA TU HIO N LAANA

    NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisasa: Haki, teknolojia, na siasa za amani—tunapokwenda kwenye uchaguzi mkuu

    TANZANIA YA KISASA: HAKI, TEKNOLOJIA, NA SIASA ZA AMANI—TUNAPOKWENDA KWENYE UCHAGUZI MKUU Leo tarehe 24 Aprili 2025, Tanzania - Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendesha shauri la jinai namba 202504102000008606 dhidi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu kwa njia ya mtandao, kupitia tovuti rasmi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu kimwili na kiroho, wanaosema viongozi wa dini wasihubiri siasa ni wajinga waelimishwe

    Naomba niliweke katika picha hii Dini inafundisha katika muktadha wa software na hardware! Dini ni platform ya kumuongoza mwanadamu kiroho na kimwili ili aondokane na mahangaiko na mateso kutoka kwa shetani. Huwezi kuwahubiri watu wenye njaa wakakuelewa! Huwezi kuwahubiri watu kiroho pasipo...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Japokuwa napenda sana siasa ila nikiingia miaka 70 naachana na siasa , kutokana na huu moto wa Uchaguzi

    Number don't lie . MTU umeshaingia ghorofa ya 80 unasema utaweza siasa za huku na kule. Pale Bukoba Mjini Marehemu Mzee Rwamgisa (RIP) ndo nakumbuka aliingia ghorofa ya 80 akiwa ni diwani na bado alikuwa anautaka umeya. Wakuu number don't lie , naogopa yasitokee ya Rwangisa.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanzania hawana tena upeo wa kujadili na kuchambua siasa upeo wao ni kuchambua mipira tu. Tutarajie maafa zaidi

    Nimeona taarifa ya projection ya ukuaji wa kiuchumi wa nchi yetu inaonyesha tunakaribiwa kwa karibu sana na Uganda lkn tukiendelea kuachwa mbali sana na kaka zetu wakenya. Sisi ni mabingwa wa kusifiwa kwamba nchi yetu imetulia kuna amani maandamano hakuna na hata wakati wa corona hatukufunga...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Back
Top Bottom