siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto: Tuwalinde Wanawake kwenye Siasa

    Akionekana kutofurahia baadhi ya kauli, picha na maandiko mbalimbali mitandaoni, kwenye kile alichokiita kama Makelele ya mwenye siasa na yenye kuwahusu wanawake wanasiasa, Mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye pia ni mtia nia ya Ubunge kupitia ACT Wazalendo kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025, ametuma...
  2. Damian Wayne

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Semina kubwa Songea, Wajumbe zaidi ya 800 wa siasa na Serikali za Mitaa wafikiwa na Mama Samia Legal Aid

    Hii ndio Tanzania ya watu wote. https://www.youtube.com/live/CIfhuj_3bvM?si=hu0-rcS5CnzB9JT9
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigath Gachagua aanzisha chama chake

    Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo. My take: 1. Ukabila, maana anatokea Mt. Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity 2...
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kweli Mbowe ni gwiji wa siasa. Atabadili jina la chapa (brand name) ya chama hicho kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Umma (CHADEMAU)

    Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  7. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uingiliaji wa Kipindi cha Uchaguzi na Umuhimu wa 'No Reforms, No Elections

    Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia kazi za vyama, hasa vya upinzani. Kulingana na Sheria ya Vyama vya Siasa (Cap 258 R.E 2019), Msajili...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kuvuliwa madaraka viongozi wa CHADEMA si za kweli; hakuna barua iliyotolewa na Msajili wa vyama vya siasa

    Vyombo vya habari vya Tanzania havina udadisi. Magazeti yameandika habari ambazo hata msajili wa vyama hana habari nazo. Nimefuatilia nakubaini kwamba hakuna chombo cha habari chenye maamuzi haya na wala hakuna barua ambayo Mchome amekubali kupewa nakala. Hizi habari zimechapishwa kuwapima...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama wala utawala wa haki na sheria tena nchini

    Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini. Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema contract very good Historian aandike historia ya Chadema na magumu ya siasa wanazozipitia toka ianzishwe mpaka sasa

    Hii ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa kwenye maandishi yasiyofutika. Kuna mengi mliyopitia na CCM/serikali ambayo can be missed if history is not put in the right perspective. Andikeni historia, mtakuwa mnafanya Prelude ya earlier versions of the book
  11. Fund man

    JamiiForums Tanzania Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo. Kelele nyingi...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sakata ya Simba na Yanga ni mpango ili kuwapumbaza watanzania wasifatilie yanayoendelea kwenye siasa

    Mods msiufute huu uzi. Ukitulia na kutafakari Kwa utulivu hilo swala ya SIMBA na YANGA kusuguana kuhusu huu mchezo wa marudiano utagundua kuwa, 1. Ni mpango uliosukwa kwa makusudi ili kuwafanya WATANZANIA wawe bize kujali huu upuuzi na kujiweka mbali na siasa ambazo kimsingi ndio ukombozj wa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Siasa zimepoteza wenye vipaji maalumu

    Hawa ni wale watu ambao wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali zaidi na kusaidia nchi kwa ujumla wake. Tanzania wamekuwa machawa, wala rushwa , wana dharaulika na wengine kutaka kuuliwa
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siasa za bongo ziko very predictable!

    Kila mtu alijua baada ya mangi kunyimwa nafasi ya kuliongoza duka la ukoo kwa mara nyingine, atatengeneza mkakati ambao utawahusisha wafanyakazi wa dukani waliokuwa mabest zake ili kumpa wakati mgumu mangi mpya aliochaguliwa na wana ukoo. Kila mtu alijua wafanyakazi hao watajitangaza kuacha...
  20. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Tuwanyanyapae wenye kuchanganya dini na siasa

Back
Top Bottom