siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

    Kesi Namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha CHADEMA kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa, inatarajiwa kuendelea Julai 10, 2025 mbele ya Mh. Jaji Hamidu Mwanga katika Mahakama Kuu-Dar es salaam...
  2. PLOII

    JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Kenya ni kuachia vyombo vya habari kuhubiri siasa kwa 95%

    Hilo ndilo kosa kubwa linalofanywa na uongozi wa Kenya siasa kwenye vyombo vyao vya habari ni Kwa 95%,vipindi vya kimaendeleo Kwa Kenya vinapatiwa 5% only,Tujifunze Kwa majirani, hakika mungu anaipenda sana tanzania yetu. #Anatuletea mifano kwenye malongo yetu. #Vyombo vya habari vinanguvu...
  4. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Siasa zilizofichwa kwenye elimu kwa madhumuni ya kuwaongoza watu

    ### Je, Elimu Inaweza Kuwa Udhibiti wa Watu? Mifano kutoka kwa Nadharia za Njama Katika dunia ya leo, mjadala kuhusu ushawishi wa elimu katika jamii umekuwa wa kupigiwa kelele. Wakati wengine wanaona elimu kama suluhisho la matatizo mbalimbali, wengine wanaweza kuangalia mfumo huu kwa jicho la...
  5. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu:Chadema ndio ilianza kuleta wasanii wa bongo fleva kwenye Siasa

    Tusije kusahau kuwa Nigga J na 2 Proud walikuwa ni wabunge kupitia Chadema.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge Kasalali Mageni atangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa

    Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Kasalali Mageni anayemaliza muda wake ametangaza kung’atuka na kutoendelea na masuala ya siasa huku akibanisha kuwa hatagombea tena na ubunge wa jimbo hilo. Kasalali ametangaza leo Julai 2 mwaka huu na kueleza kuwa kwa sasa anataka kupumzika kuwatumikia...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Majaliwa kastaafu siasa au kastaafishwa?

    Kwa umri wake, katika siasa, Kassim Majaliwa Majaliwa bado ni kinda. Je, sasa inakuwaje hagombei ubunge tena? Je, amestaafu au kastaafishwa? Nani aweza kuwa waziri mkuu baada yake? Je, hili linasema nini kuhusiana na Mama na Watu wa Jiwe?
  10. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?

    Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
  11. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania CCMJless: Mapambano ya Jobless, Mapinduzi kwa Njia ya Siasa

    “Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.” Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...
  12. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015, ni Mwaka ambao utakumbukwa sana kwenye Siasa za Tanzania.

    Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla. Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua, Kilichofuata ni vibano kila sehemu. Media, free speech, n.k Ila kama ilivyo 1995, 2015, 2025 nayo wenda ikakumbukwa sana kwenye historia ya Siasa za Tanzania.
  13. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kupitia chama cha Siasa

    Habari Tanzania ! Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha? Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi. Asante.
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kumekuwepo na wimbi kubwa la wasanii kujiingiza kwenye siasa kwa kuwania nyazifa za juu za kuiongozi je hii sio hatari kwenye nchi yetu

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la wasanii kujiingiza kwenye siasa kwa kuwania nyazifa za juu za kuiongozi je hii sio hatari kwenye nchi yetu ? Hili wimbi la hivi sasa na katiba mbovu iliyopo inatupeleka wapi Tanzania pale ambapo kura yako haina maana yoyote, hii inaweza kuwa ndio chanzo cha kila...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo acha siasa za kuchafua watu kishamba. Yaani WanaCCM wenzako wapokee rushwa gizani alafu wazikatae kwenye kamera!

    CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi Bungeni. Eti watu wanapokea rushwa gizani alafu wanazirudisha mbele ya kamera. Nomsensical...
  16. Super Msouth

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinafikirisha

    Nawasalimu wanabodi. Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza. Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake. Kamanda Silo lazima alipe fadhili.

    Kamanda Silo lazima alipe fadhili kwa alioe .teua na hapo ndio pagumu kwa Zitto Kabwe. Simuoni akitoboa Kigoma na itakuwa ndio mwisho kabisa wa siasa zake, atakuwa na optional moja tu, ya kuwa kama Mrema. Hata wale wenzake wa ACT sioni Jimbo la wao kushinda labda kule Pemba.
  18. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini siasa inawapoteza watu wenye nia ya kusaidia watu?

    Dr. Aris Latham ni mmoja wa wataalamu maarufu katika fani ya afya na ustawi, ambaye amekuwa akisisitiza umuhimu wa usingizi katika maisha ya kila siku. Katika mwaka wa 2019, alifanya mazungumzo kadhaa kuhusu jinsi usingizi unavyoweza kuathiri afya ya mwili na akili. Alieleza kuwa usingizi ni...
  19. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
Back
Top Bottom