siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri: Luhaga Mpina CCM wakizingua we komaa na Umoja party. 2025 maajabu yatafanyika

    Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA watapata hata madiwani 2025? Hii dalili mbaya sana

    Bashnet👇
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano. Hayo yamesemwa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Karatu: CCM yakata Tamaa, yakubali kuachia Jimbo, Chopa ya Chadema yatikisa

    Makubaliano ya kuachia Jimbo yamefikiwa leo baada ya Chadema kuvurumisha mikutano ya hadhara isiyo na idadi (Tunatafuta calculator isaidie kujumlisha), ambayo wananchi wameielewa kabisa, Hakika kisicho ridhiki hakiliki! Lissu ametoa Elimu ya Haki kwa Raia na kwamba hawapaswi kutishwa na yeyote...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tarime: Mbunge Mwita Waitara atimuliwa na Wananchi, ashushwa Jukwaani kwa Fimbo

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari. Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia)...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhanga Mpina anatengenezwa kama Hayati Membe akawe Mpinzani?

    Huu unaweza kuwa ule mchezo wa kujifanya amefukuzwa chama ili akawe mpinzani fake kama Membe. Tumeshaiona hii picha🥲
  8. J

    JamiiForums Tanzania Siasa ni Sayansi, sasa kila Mtanzania anayekunywa Chai anamjua Mpina kama Watumia Umeme walivyomjua Dr Mwakyembe wakati wa Richmond!

    Hata Hayati Magufuli alijulikana sana alipobinafsisha Nyumba za serikali Maneno yakawa mengi na kila mtu akamjua Siasa ni Watu wakujue kwanza iwe kwa wema au ubaya kisha baadae unatenda mema na mema kuelekea Kiti cha enzi Sasa kila mtu anamjua Mpina na ukifika uchaguzi 2030 hatahitaji kutumia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina ni jembe

    Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu. (1) Sukari tunayouziwa wachache wameweka chao cha juu Tshs.1,000 kama alivyotamka Tundu Lissu. (2) Kampuni za stationery...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu jikite kueleza namna ya kukuza uchumi wa nchi, sio kulalamika tu bila mpango

    We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi wa nchi. Je, wewe ukipewa nchi kwa mfano unawezaje kuwaletea wananchi maendeleo? Tunajua duniani...
  11. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala

    Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na demokrasia ya vyama vingi Hapa Tanzania vikaundwa vyama siasa vikiwemo CUF, CHADEMA, UDP, NCCR...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chadema hawajui kula na kipofu sijui shida ni elimu ndogo au?

    Rais Samia alipoingia madarakani alionesha kukerwa na udictator wa Magufuli wa kukataza siasa za upinzani ispokuwa siasa zibaki zinafanywa na ccm tu. Hapo tukaona mikutano yote ilizimwa. Samia akasema no katiba lazima ifuatwe. Badala ya CHADEMA kuona sasa mwanga umeonekana mana siasa ni ajira...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa

    Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani ni CHADEMA wenyewe waliotamka kuwa moja ya masharti ya kuanza maridhiano ilikuwa ni kuachiliwa kwa...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barbara: Wapambe na Machawa wanaendesha siasa za Tanzania, watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu

    Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania. Je, ni upi mtazamo au maoni yako juu ya alichosema? Atakuwa anawalenga watu gani wanaolipwa kuchafua au...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Goat katika siasa za Tanzania

    Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania. Kapigwa risasi Ila yupo imara. Kawekwa ndani sana Ila yupo imara. Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara. Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule. Hivyo Lissu to...
  16. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo matano kugeuza siasa za Tanzania

    1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu. 2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo. 3.kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke: Komredi Polepole ameweka rekodi ya kuipa CCM Ushindi wa 84% kwa Rais wa JMT na 98% kwa Wabunge wa Kuchaguliwa 2020!

    Hiyo ndio rekodi inayotamba CCM tangu Mfumo wa Vyama Vingi uanze Kwa Chadema rekodi bado inashikiliwa na hayati Ngombale Mwiru aliyewezesha kupata 39% ya kura za Rais na Wabunge Zaidi ya 50 mwaka 2015 alipokuwa Mwenezi wa Lowassa Komredi Makala tuna Imani Kubwa kwako 2025 Ahsanteni Sana 😄😄
  19. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Nakiri kwamba naendelea kujifunza siasa za Tanzania

    Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa. Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila chenga ni kwamba APANDACHO MTU NDICHO HUVUNA, na MWANADAMU HAWEZI KULINGANA NA MUNGU. Nitaelezea mtazamo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television (TV) kwenye vijiwe/mabunge ya kahawa yaliyopo Wilayani Ngara. Lengo kubwa ni kuwawezesha Wananchi kupata taarifa za Mambo mbalimbali...
Back
Top Bottom