siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

    Habari zenu wakuu Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea. Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama Binafsi nimejikuta...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu ya Msigwa ni kwamba kukosana kwake na Mbowe kumefanya mambo yote aliyoyachukia ndani ya CCM kwa miaka mingi yabadilike ghafla na kuwa mazuri!

    Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa, akakorofishana na Mbowe, au tuseme akashindwa uchaguzi ndani ya Chadema na ikawa kichocheo cha...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siri ya CHADEMA kukubalika Tanga yatajwa

    Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nini kitatokea ikiwa chama kimojawapo cha Upinzani kitakuwa na fedha za kampeni sawa na walizonazo CCM?

    Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni kwa kuunga-unga na kuzidiwa kwa kiwango kikubwa na CCM. Sasa sijui mazingira hayo yanachangia kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii kwa umakini halafu useme waziri Nape amemaanisha nini?

    Ndugu zangu Watanzania, Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Korogwe: Sasa ni Rasmi CCM yafutwa Mkoa wa Tanga

    Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kusema Tanga ni Ngome ya CCM, Labda awe mwehu. Tathmini iliyofanywa na Mtandao huru wa Erythrocyte.com...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

    Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi matarajio na kukata kiu ya watu, na kuwapa watu vicheko vya furaha na kuacha alama katika mioyo yao...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kauli za wanasiasa kuwa Rais katuletea hela za maendeleo zinavunja moyo wa kulipa kodi na kutengeneza kizazi kisichowajibika

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa kodi wataletewa na rais jambo ambalo sii kweli hata kidogo. Natamani msisitizo mkubwa uwe hili dalaja...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tunazungumza na Watanzania wote wa Maramba Tanga na sio CCM pekee

    BALAA! TAMKO LA CHADEMA LIMETIKISA VICHWA CCM MBOWE ALIPUKA NA WAKE LEO
  11. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii imewezekanaje? Mwalimu aonekana anawafundisha Wanafunzi itikadi za chama

    Mwalimu mmoja ameonekana akifundisha watoto kuimba na kuwatamsisha maneno ya kiitikadi ndani ya darasa Hapa tumefikaje kama taifa ndio tunajenga kizazi gani hiki? Kama ndio haya yanaendelea basi kizazi kitakachokuja kuwa hovyo kuzidi sisi ni hiki na kingine kitakachokuja nyuma ya hiki.
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muda wa bodaboda kutumika umefika; Mohamed Mchengerwa aagiza wasisumbuliwe

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa Serikali wanapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano katika Mikoa na Wilaya ili kwa pamoja washiriki...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Ubaguzi wa Kiitikadi ni ujinga. Wananchi wanataka maendeleo

    Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa. Ktk video clip hii hapa chini inaonesha Mh Mbowe akiwatolea uvivu baadhi ya viongozi wanaodhaniwa kuwa wa serikali...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Tengua, teua zimetumika sana Ulaya Mashariki miaka ya 90

    Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo Mbele. Mara baada ya kuwa hawana kitu cha maana cha ku ofer kwa raia wao, au hali ni Mbaya, Kodi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA acheni kuipa CCM mtaji wa raslimaliwatu na nguvu kazi

    Nimeyafakari waliokwisha hama kutoka Chadema kwenda CCM ndiyo wanaoifanya CCM iishi na kushamiri kuipiga Chadema Nguvu kazi yote inatoka Chadema. Kwa hali hii Chadema ni mradi wa CCM. Nimehesabu wakafika watu 80 waliohamia CCM kutoka chadema baadhi ni wakuu wa wilaya,Mawaziri na viongozi wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

    Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema --- "Ni matumaini yangu kama Mheshimiwa Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan) alivyosema kazi zipo nyingi za kufanya za...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Namba mbili CHADEMA anakaribia kujiunga na CCM, huyo aliyeenda ametangulizwa tu na Kila kitu kipo tayari. Ni sUala la muda tu

    Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Handeni: CHADEMA yatikisa Kwa Msisi, Wananchi waishukuru Kwa kuja, Mkuu wa Wilaya ahudhuria Mkutano

    Chadema ikiongozwa na Freeman Mbowe imeingia Kwa Msisi, eneo ambalo viongozi wa ccm wanaogopa kwenda kutokana na dhuluma walizowafanyia wananchi wa huko kwa muda mrefu (wanaogopa kulogwa) Chadema imefika na kupokelewa na Wananchi kwa shangwe kuu, jambo lililomfanya Mkuu wa Wilaya hiyo Bwana...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni vyema mnapowavisha fulana za Mama Samia muwavishe na viatu basi ili kuzipa hadhi hizo nguo

    Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ardhi tunayo, tumekosa siasa safi na watu kupiga hatua

    Iliwahi kutajwa kuwa ili tuendelee tunahitaji ardhi, siasa safi na watu. Ardhi ipo hadi yakumwaga, siasa ipo hadi vyuo vikuu isipokuwa imekosa maji na sabuni ili ioshwe iwe safi na hii ni kwasababu nchi haina "watu" wenye uwezo wa kuiosha na kuondoa madoa sugu yaliyoachwa na yanayoendelea...
Back
Top Bottom