shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Shuleni na Vyuoni ,ChatGTP imeleta fursa na Changamoto gani katika Taaluma?

    Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work ! Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya shuleni na ofisini

    Habari wadau .... Je unahitaji vitu bora vizuri vya shule na ofisini??? Basi usisite kutafuta Trumark Stationery & Books. Tupo Kimara Stopover delivery services Tanzania nzima Just Call 0765 76 76 96
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamanoro (Mwanza) anahatarisha maisha ya wanafunzi kwa kuwatoa wanafunzi shuleni saa 2 usiku

    Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku. Shule hii imeweka...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali toa mbinu sahihi itakayowafanya Walimu na Wahadhiri wa Kiume wasiwatani Kingono Mwanafunzi wa Kike Shuleni na Vyuoni

    Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania. Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
  5. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hatukuwaacha shuleni tu, ni mpaka makazini hadi kwenye taasisi watu hawa hufanya maisha ya sehemu husika kuchangamka

    Sisi Tunae kazini, Yani ndio anakuwa mtoa vibe Kwa wenzake na ni baba wafamilia yan mambo yake hua tunacheka mnoo Shuleni walikuwepo kina Dullah 😂 lakini sikuhizi alivyotulia kama sio yeye
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ugali maharage uliitwaje shuleni kwenu?

    Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009 Ugali uliitwa 1. Bondo 2. Cha Kikwete 3. Nguna 4. Muvero
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga (Dar) wanaenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia kama mbadala wa dawati

    Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia. Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
  11. tamu 3

    JamiiForums Tanzania MWANETU NENDA SHULENI

    MWANETU NENDA SHULENI 1. Wazazi wako zamani, hatukuenda shuleni, Hapo kale tuamini, likuwa chache nchini, Tungelisoma jamani, mengi tungeyajueni, Mwanetu nenda shuleni, unoe wako ubongo. 2. Wazazi hatukupata, nafasi ya kwenda shule, Ujuzi tuliopata, sio mwingi huko kale, Kukosa shule twajuta...
  12. MUROSO

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo umekua ukilifanya katika maisha yako na hujawahi kufundishwa shuleni wala nyumbani?

    MIMI👇 1. Kutemea mate pale nilipokojolea 2. ..........
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Siku hizi shuleni hawatoi ratiba za masomo?

    Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja. Ukifuatilia utagundua mtoto amebeba mzigo wa madaftari ya masomo yote (masomo ya wiki nzima). Daftari la somo la ijumaa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge adai Masasi hawana shida ya vitabu shuleni

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Elimu Tanzania: Adhabu ya viboko iondolewe shuleni

    Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi. Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
  16. upupu255

    JamiiForums Tanzania RC Shinyanga apiga marufuku Watoto kutumikishwa mashambani, ataka wapelekwe Shuleni

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule. Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kusoma wanaandikishwa na wanahudhuria shuleni, akidokeza kuwa...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya elimu yawataka wazazi wenye watoto shuleni kuwanunulia vitabu vya mtaala mpya, Je, huwa unawanunulia vitabu vya shule watoto wako?

    TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja na watu wenye mahitaji maalum kununua vitabu vya mitaala mipya vinavyopatikana katika taasisi hiyo na kuuzwa maeneo mbalimbali nchini Rai hiyo imetolewa Jijini...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  19. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

    Habari yenu ndugu na jamaa zangu ! Kwanza ninge elezea kuwa hiki nilicho andika hapa sio hadithi ya kufikirika bali ni mambo halisi yaliyopo mitaani na kwenye yetu. Kwanza nianze na historia Fupi ya maisha yangu shuleni. Nisingependa kutaja jina langu ,ila kwa ufupi nilianza shule ya msingi...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uwe maarufu shuleni?

    Mdau karibu utuambie
Back
Top Bottom