shuleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunafundishwa namba za Kirumi shuleni? Je Zina faida gani maishani?

    Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi yasiyo na tija kwa taifa letu?
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa mwongozo unyonyeshaji wanafunzi waliojifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao badala yake wazazi kuwajibika kuwalea

    Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya kuwajibika kuwalea wanafunzi na watoto wanaorudi shuleni. Novemba 24, 2021 aliyekuwa Waziri wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Sweden imetenga Euro 109 milioni ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni

    Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni. Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali iajiri walimu, watoto wanapoteza muda shuleni

    Kuna upungufu mkubwa wa walimu kwenye shule za umma Nina mdogo wangu anasoma PCB huko Mwanza anasema haijawahi kumwona mwalimu wa Physics na Chemistry shuleni Toka mwezi wa 7 Mfano Nilifika Wilaya ya Mkuranga shule msingi Koma ina mwalimu mmoja ambaye pia ndo mkuu wa shule. Shule ya Msingi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini maonyesho mazingaombwe yaliacha kuonyeshwa shuleni na nchini?

    Wakati nasoma shule ya msingi kulikuwa na watu mbalimbali wanakuja shuleni kufanya maonyesho ya mazingaombwe, yale maonyesho yalikuwa na buradani ya aina yake, wanafunzi wengi walikuwa wanalipia pesa ya kiingilio cha kuingia kutazama na wanafanya juu chini kupata siti za mbele katika ukumbi...
  10. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili majina ya mtoto shuleni ukoje??

    WKuu Nina kijana yuko form 3 anaingia form four. Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani. Je utaratibu wa kisheria ukoje
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Anaweza kupokelewa shuleni mwakani?

    Ni kijana wa kiume aliyemaliza kidato cha nne mwaka Jana na kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano mchepuo wa Sanaa mwaka huu. Hakuweza kuripoti shuleni mwaka huu kwa sababu alikuwa mgonjwa. Nduguze hawakutoa taarifa shuleni. Anaweza kupokelewa tena shuleni endapo mwakani ataamua kwenda...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wengi wa wale '"wababe" na "superstars" wa shuleni wanakujaga kuwa na maisha ya ovyo ovyo ukubwani

    Wengi wanakuwaga bums/bust Unakuta yule ambaye ni alikuwaga chombo ya darasa na maringo juu huku akiwaona wengine sio level yake leo amezalia nyumbani mara mbili, hataki kufanya kazi za kawaida na ajira yake ni kudanga na bwana za watu huku pesa yote anaimalizia kulewa na kuparty na wenzake...
  13. Calyx24

    JamiiForums Tanzania Watengenezaji wa madawati ya shule

    Habari Kulingana na mahitaji ya furniture za mbao na chuma katika mazingira yetu ya kazi, ofisini, mashuleni, vyuonI, taasi mbali mbali na majumbani Sisi kama wabobezi na watengenezaji wa haina mbali mbali ya viti na meza kwaajili ya wanafunzi kwa bei zifuato kiti na meza kwa sh 100,000 kiti...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nashauri shule inapojengwa iende sambamba na zoezi la kupanda miti mazingira ya shuleni

    unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi.. Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
  15. Meerkat

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maarifa ya muhimu ndiyo yanayobaki baada ya kusahau unachojifunza shuleni?

    “ Elimu ni kile kinachobaki baada ya mtu kusahau kila alichojifunza shuleni.” Hii ni nukuu maarufu ya Albert Einstein, ikimaanisha kwamba elimu ya kweli siyo tu kukariri au kujifunza mambo kihafidhina, bali ni uwezo wa kutumia maarifa, mantiki, na uelewa ambao mtu anapata kupitia elimu rasmi au...
  16. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka?

    Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande?? Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sukari yachangia taulo za kike wilayani Kilombero

    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Cane Growers wakionyesha maboksi ya pedi za kike zilizotolewa na Kampuni ya Kilombero Sugar leo wilayani Kilombero. Mchango huu, ambao ni sehemu ya mpango wa 'Kukomesha changamoto ya hedhi salama, unaonyesha dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kupambana na...
  18. Soul21

    JamiiForums Tanzania Mwalimu jenga Uhusiano mzuri na wazazi ili kulinda hisia za mtoto shuleni na nyumbani

    Image source: Pinterest Kumekuwa na tatizo la wazazi kulaumiana katika kusimamia maendeleo ya mtoto shuleni. Hivyo kurudisha umoja ili kufanikiwa kumjenga mtoto Na wakati mwingine mzazi anaingia msongo wa mawazo kutokana na taarifa mbaya za mtoto kutoka kwa mwalimu. Mwandishi wa kitabu cha...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna wimbi la michango Shuleni hasa Shule za Msingi

    Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango 1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/= 2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka 3. Hela ya jiko Tsh...
Back
Top Bottom