Mara nyingi wazazi wanapochagua shule kwa ajili ya watoto wao, kigezo kikuu huwa ni ufaulu wa kitaaluma. Siku hizi, baadhi ya wazazi wako tayari kulipa ada kubwa ili kuhakikisha watoto wao wanasoma katika mazingira bora, huku wakiachia jukumu la malezi kwa walimu.
Kwa upande mwingine, shule...
Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
I am Kisaka Kyande, and this is my very long report on accessibility and ableism. Accessibility is one of the most important issues in the history of Canada. According to Municipal World, they say that the population of disabled people in Canada is increasing. The article says, “Statistics...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza
Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe
1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja tulichelewa kufika
Basi siku hiyo ilikuwa zamu ya mwalimu mmoja hivi
Yule mwalimu akatuambia Mimi sitoweza...
Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo
Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji
Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
Usominwa kweli siyo vyeti wala shahada bali kujitambua na kuwatambua na kuwaelimisha wengine. Yeyote aitwaye msomi na akakubali uchawa si msomi wala mjinga bali mpumbavu na zwazwa wa kunuka. Tumzomee popote tumuonapo hata kumpiga mawe., Naanza na maprofedheha Paramagimbi Kabundi na Kitwila...
AMETOROKA SHULENI!
Mtoto wetu DAVID R. KIGELULYE, kimo ~5ft.
Mara ya mwisho kuonekana Iringa – Shule ya San Giovanni Paolo Sec, tarehe 20/08/2025.
Tafadhali yeyote mwenye taarifa atujuze mara moja 🙏.
Piga:
📞 +255 714 220 3363 / +255 675 962 254
Bila shaka maendeleo ya teknolojia yqnaenda kwa kasi ya ajabu.Majuzi nimeshuhudia mtoto wa darasa la nne akitumia ChatGTP kufanya Home Work !
Sasa najiuliza huko.elimu ya juu Hali ikoje! ? Vijana wanafanya takehome essay kweli? Je Hali hii inaleta fursa na Changamoto gani katika kazi za...
Habari wadau ....
Je unahitaji vitu bora vizuri vya shule na ofisini???
Basi usisite kutafuta Trumark Stationery & Books.
Tupo Kimara Stopover delivery services Tanzania nzima
Just Call 0765 76 76 96
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku.
Shule hii imeweka...
Anonymous
Thread
maisha
mkuu
mkuu wa shule
mwanza
saa
sekondari
shule
shule ya sekondari
shuleni
usiku
wanafunzi
Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania.
Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni.
Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
Sisi Tunae kazini, Yani ndio anakuwa mtoa vibe Kwa wenzake na ni baba wafamilia yan mambo yake hua tunacheka mnoo
Shuleni walikuwepo kina Dullah 😂 lakini sikuhizi alivyotulia kama sio yeye
Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.