Kuna changamoto zinatokea kwenye maisha na baadhi zinaweza kutatuliwa na mamlaka husika. Mojawapo ya swala lenye changamoto sana ni swala la elimu ya shuleni na vyuoni. Natumaini wahusika (wazazi na serikali)wanaweza kupitia huku na kusaidia kutatua changamoto hizo.
JE KAMA WEWE ULIACHA SHULE...
Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza
Nini chanzo, madhara ya muda mfupi na mrefu, na ufumbuzi wa mabegi mazito shule za Kayumba za Kiingereza?
Watoto wadogo wanabeba mabegi mazito kulinganisha na uzito wao wenyewe, urefu na ukuaji -- kwenye shule nyingi zinazotumia lugha ya Kiingereza...
Polisi katika Mji wa Mombasa nchini Kenya wanamshikilia kondakta wa Basi la Shule kwa madai ya kumbaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka mitano alipokuwa akimpeleka nyumbani kutoka shule.
Mwanafunzi huyo wa Shule ya Msingi Maryjoy mjini humo alikuwa akirudishwa nyumbani, na anadaiwa kubaki peke...
Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na mengine mengii yatakayo kuja mbeleni.. Naanza hivi...
kabla ya kuandaa makala yangu narudi miaka ya...
Ili watoto wadogo wa shule za msingi na wenzao wa Sekondari waweze kusoma kwa ufanisi ni lazima wawe wameshiba vizuri. Mwanafunzi anayesoma akiwa na njaa hawezi kuelewa chochote na zaidi sana ataona shule ni sehemu ya mateso.
Chakula bora kwa wakati katika hatua za awali za ukuaji wa mtoto ni...
Wanafunzi wa shule ya msingi Ufulaga wilayani Kaliua mkoani Tabora wanasomea kwenye madarasa ya nyasi.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo mh Paulo ameiomba CCM iwasaidie kuboresha mazingira kwani mfadhili wa shule hiyo alikuwa Prof Kapuya ambaye kwa sasa hawajamuona kabisa.
My take; Jaffo alikuwa...
Kumekuwepo na usiri mkubwa , kwenye sakata la wizi wa laptop computers 10 uliofanyika shule ya Moshi Technical kule kilimanjaro, ambapo shule hii Ina kitengo maalumu cha wanafunzi wenye matatizo ya kutokusikia vizuri. Hii ni mara ya pili kufanyika kwa wizi huo ndani ya mwaka mmoja.
Kimsingi...
Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
Habari za mchana wanabodi, hongera kwa waliofanikiwa kufunga mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan mpaka siku ya leo, hakika mola yupo nanyi! Baada ya salamu hiyo napenda kutoa maoni yangu machache kuhusu hizi shule zetu zinazoibuka kila siku kwa jina english medium, kwa kweli napenda kukiri...
Wadau alafu ukiwa unaomba shule mbona haiandiki hii Primary hii Secondary inaandika tu
MFANO
1) Kilaka School 1 position History
2) Kinje School 1 Position Geography
Hii inakuwaje maana wa Arts tunahitaji kuomba Msingi au mfumo unaweka Automati Shule Msingi kwa arts.
Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea.
Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine.
Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
Mbunge wa Jimbo la Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana.
Habari kamili ndio kama mnavyoona
Mbunge Abdallah Chaurembo amesema Kata za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji hazina kabisa Shule za Sekondari licha kwamba Sera ya Serikali ni kuwa na Sekondari katika kila Kata.
Akiwa Bungeni, pia amezungumzia hali ya msongamano wa Wanafunzi madarasani katika Shule mbalimbali zikiwemo Mbande...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza
Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado hatujafanya vizuri katika kuongeza 'access' ya Watoto kuanza Elimu ya Awali kwahiyo haileti mantiki kusema...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu,natafuta shule yoyoyte , msingi au sekondari dar er salaam, nijitolee kufundisha. Msingi ni masomo yote.
Sekondari ni geography, General studies au civics.
Natanguliza shukrani
Sophia binti wa miaka 16 alipata ufaulu wa daraja la kwanza kwa point 17 katika ufaulu wake wa shule ya upili. Baba yake Sophia ni dereva serikalini na mama anafanya biashara ya chakula. Nyumbani wamezaliwa watoto watano na Sophia ni watatu kuzaliwa.
Nyumbani waliishi maisha ya kawaida...
The Duke and Duchess of Cambridge have released a new picture of Prince Louis to celebrate his third birthday and mark his first day at nursery school.
The photograph was taken at Kensington Palace by the duchess, shortly before Louis set off for Willcocks Nursery School for the first time on...