Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia.
Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
Ndugu zangu habari za leo!
Mwanangu anapenda kusoma Aircraft Eng, ningependa kupata msaada kama kuna wadau wanaweza kunipa input yeyote kuhusu vyuo vya canada ili niweze kujiandaa na kufikia lengo lake.
Nasubiri msaada wenu!
Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira.
Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
Eti wakuu, TFF wanamiliki mpira wote wa miguu nchini? Maana huyu kapewa adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu nchini kwa miaka mitano. Inamaana hata shule au chuo haruhusiwi kufanya ukocha?
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo.
Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
Tamisemi japo mlitoa nafasi za wanafunzi kufanya upya machaguo ya shule za advance kupitia mfumo wenu wa selform lakin cha ajabu mewapangia wanafunzi wengi shule tofauti na zile walizochagua despite ufaulu wao kuwa mzuri lakin bado mmewatupa ktk shule za ajabu ambazo hawakuchagua
Je,nini maana...
Salaam Wakuu,
Alfonce Peter Swai, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serikali ya Mbwenitete iliyopo Mbweni, Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam, ameomba Wadau wa Elimu kusaidia Shule kwani ina Ufaulu Mzuri pamoja na Changamoto zilizopo.
Amesema Komputa ni Somo lipo kwenye Mtaala...
Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level.
Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango.
Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet.
Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇
Wiki hii nilikuwa kwenye matembezi yangu mtaani mzazi fulani akiwa hoi anatoka shamba akakimbiliwa na mwanaye mtoto akamwambia mzazi,kule shule wameagiza traksut mzazi akaonekana kuzidi kuchoka mana hali ngumu ya maisha inampiga na mtoto ndiyo hivyo.Ukimuangalia mtoto kavaa yebo ametoka shule...
Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding.
Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi.
Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...