Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea?
Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji!
Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea!
Hata ukitazama hizo suruali...
Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku.
Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
Baraza la Mawaziri limeridhia Shule kufungwa Novemba 25, 2022 ikiwa ni baada ya wanafunzi 23 kupata maambukizi ya Ugonjwa huo.
Mke wa Rais Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu amesema hatua hiyo itapunguza mikusanyiko ya watoto kukutana na wenzao, walimu na wafanyakazi wengine wanaoweza...
Hello habar wadau, naomba kujua ni shule zipi za olevel zenye boarding iwe ya Boys au mchanganyiko hususan Kwa mikoa ya Dodoma na morogoro.
Natanguliza shukran za dhati
Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
Hebu fikiria vijana kama Hawa wengine hawana Wazazi, wamesoma shule za kata since primary na bado Ada ni 1.3milion mpaka 2.5milioni lakini bodi inampa asilimia 49 tu kwa mwaka mtoto akafie mbele, je wadau wa elimu wako wapi, viongoz wako wapi?
Umoja wa Wamiliki na Maneneja wa shule binafsi Tanzania (Tamongosco), wameingilia kati suala la kufungiwa kwa Shule ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani wakitaka uamuzi huo utenguliwe.
Tamongosco wamejitosa katika sakata hilo ikiwa ni siku chache tangu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
Baadhi ya Wadau wa Elimu wameomba Mamlaka kudhibiti utaratibu huu, huku Wengine wakiona ni Sahihi. Kwa hoja hizi na nyingine nyingi jiunge nasi Twitter Spaces ya JamiiForums muda huu uweze kuwa sehemu ya mjadala huu.
Bonyeza hapa kujiunga > JF SPACES
Mkaka Smart
Mimi nachukulia positive...
Akili ya binadamu ni utajiri wenye nguvu zaidi kuliko tunavyoongozwa kuamini katika elimu rasmi ya kitaaluma tunapokuwa shuleni au chuoni.
Nachukia sana watu wanapochanganya akili na elimu. Unaweza kuwa na shahada na bado ukawa mjinga kwa kuamini unajua kila kitu!
Elimu inakuwa na manufaa...
Wasichana 3,333 sawa na 111% wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokana na mazingira magumu, kupata ujauzito na ndoa za utotoni wamerejeshwa shuleni mwaka 2021/2022.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima(TEWW), Dk...
Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), limethibitisha kuwa mwanafunzi wa darasa la 7 Iptisum Suleman Slim, alibadilishiwa namba ya mtihani na uchunguzi umepelekea kugundulika kwa wanafunzi wengine 7 kubadilishiwa namba zao za mitihani, na kuchukua hatua ya kuifungia shule ya Chalize Modern kuwa...
Huwezi kuelewa mzigo wanaobebeshwa wanafunzi wa shule za kutwa mpaka pale utakapojaribu kuubeba mfuko wa madaftari wanaobeba wakienda shuleni. Kitendo cha watoto kulazimishwa kwenda na Vitabu vya kiada na Madaftari ya Masomo yote shuleni kila siku kinawaletea wanafunzi hao matatizo kwenye uti wa...
Hizi Shule Precious Blood Kibaha, feza, anwarite, maua hazina mambo ya pre form one lakini zinaongoza kuwa na matokeo mazuri hizi zingine zinazofanya pre form one zinakwama wapi?
KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP.
OR -TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
Kwa wanasayansi, wanasema" don't re-invent the wheel".
Ndicho tunachoona kwa baadhi ya miradi ya serikali kwa sasa inayojengwa kwa FORCE ACCOUNT.
Serikali mkoani Tanga inalia na watendaji wake.
Waliagizwa huko Muheza kujenga shule ya sekondari, darasa moja kwa milioni 20, wao kwa ubishi na...
Matukio yanayonihuzunisha
1.Wanapiga makonda mpaka wanawapa vilema
2.Mwalimu akizingua wanamchapa kama mtoto mdogo
3.Yaani shule wanaingia saa 4
Kuhusu taaluma
1.Kufaulu 1 kati ya 120
2.Mwanafunzi mwaka mzima kasoma page 2
3.Muda wa masomo wanashinda vijiweni wakicheza kamari
4.Akienda...
Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu....
Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel....
Security forces are increasingly raiding schools and...
Habari watanzania!
Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
Nikibahatika Kumpiga Mhindi (kwa Kubeti) katika Mechi niliyobeti (weka Mkeka) Yanga SC anafungwa 3 kwa 0 na Al Hilal FC Kesho Jumapili na kupata Millioni zangu 320 nataka nichangie Millioni Tano Tano kwa kila Shule niliyosoma kisha nitamrushia Tsh 600/= kila Jamiiforums Member ya Kununua Soda...