Hizo shule waalimu wanakiburi.
Wanalazimisha vitu kinyume na sheria wanakuambia kadhitaki kokote kule.
Kiburi Chao kinatoka na assist waliyo wapatia CCM 2025 kupeleka watoto wetu kwenye mikutano ya kampeni kilaghai.
Unamwongopea mtoto kesho njoo na nguo za nyumbani tunaenda school trip (tour) kisha unampeleka kwenye siasa.
Wanajifunza nini kuhusu uadilifu (morals and integrity)?
Kwanini wakifanya udanganyifu kwenye mitihani mnawaadhibu?
Mnajenga jamii isiyokuwa na maadili ya waongo, walaghai, wezi n.k.