shule

  1. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mbona kanisa likijenga shule hamsemi linaingilia wizara ya elimu? Mbona likiombea mvua hatusemi linaingilia hali ya hewa?

    Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi "Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule ya kata Yombo Vituka imebadilishwa jina na kuitwa shule ya kata Kurasini huku bado ipo eneo lile lile la Yombo Vituka ?

    Habari wadau. Kuna jambo limenishangaza sana. Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi (Dar) yaahirishwa mpaka Juni 19, 2025

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, mkazi wa Dar es salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa Miaka 11 imetajwa Mei 27, 2025 na kuahirishwa mpaka Juni 19, 2025. Kesi hiyo ambayo iliendelea siku hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Shule msingi za EM(English Medium?)zaanza kufwata watoto wafanyishwa mitihani ya kujiunga secondari hizo.

    Ni ukweli usiopingika kwamba shule za secondari zinahamgsika kupata wanafunzi Bora kutoka English medium Bora. Kwa.sasa wameshaanza kupishana kwenye mashule yanayopifa A za kutosha mitihani ya la Saba. Hii maana yake ni kwamba wanachukua cream mapema. Hawa nahisi wanafanya na punguzo la ada...
  6. JamiiForums Tanzania Kutatengwa budget kati ya sh billion 500 mpaka Trillion 1 kwa ajili ya kuboreshwa mazingira ya shule za msingi, secondary na vyuo vya ufundi

    Kwa Tanzania Bara kumekuwa na ongezeko la Idadi ya shule za msingi kutoka shule 3,270 mwaka 1961 hadi shule 20,384 mwaka 2024.Shule za sekondari zimeongezeka kutoka 41 mwaka 1961 hadi kufikia shule 6,263 mwaka 2021. Kwa mfano kila shule ikatengèwa billion 5 ili iwe katika kiwango kinachotakiwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimeona wabunge wanalalamikia shule zao kutokuwa na walimu wa kike, mbona huku Arusha ni wengi sana kuna shule ina mwl moja tu wa kiume

    Nimesikiliza wabunge wakilalamikia shule zilizo ktk majimbo yao kutokuwa na walimu wa kike wa kutosha, kwanza wanawatakia nini? Pili mbona huku Arusha hasa wilaya za Arumeru na Arusha walimu wa kike ni wengi sana kiasi kwamba kuna shule kwa mfano shule ya Sekondari Kaloleni iliyo ktk jiji la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nikiwa shule ya msingi tulikuwa na monitor wa ajabu sana(kwa sasa ni marehemu)

    Ninakumbuka nilikuwa nikifika darasani nalala juu ya dawati maana ilikiwa ni lazima kulala kama mwalimu hayupo na usipolala unaandikwa jina na kuna adhabu. Mimi pamoja na kulala nilikuwa naandikwa na ninachapwa fimbo na nilibaki na uchungu mno. Basi yule monitor aliniambia kama nataka asiwe...
  9. JamiiForums Tanzania Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Shule ya Serikali Kukopa Kutoka Benki? Taratibu zipoje?

    Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha. Inashangaza kuikuta shule Haina photocopy machine Wala printer. Haina meza nzuri Wala viti. Swali langu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyopo Manispaa ya Songea (Ruvuma) ni hatari kwa Wanafunzi

    Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

    Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto. Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna shule iliyojengwa pembezoni mwa bahari, ziwa au mto?

    Tanzania kuna shule zozote za msingi na sekondari ambazo zimejengwa pembezoni ya bahari, ziwa au mto kwenye mazingira ya kuvutia ambapo wanafunzi wanaweza kuwa wanasoma huku wanatazama maji?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kifuta Shule za bweni za Jinsia Moja

    Miaka ya nyuma dada ambaye sasa ni mtu mzima alikuwa anasoma Loleza Sekondari Mbeya; alinisimulia jinsi mchezo wa wanawake kuchezeana ulikuwepo. Akasema msichana mwenzako unamwona ndiyo mwanaume wako. Shule za Jinsia Moja hazitakiwi kabisa kuwepo zinachochea sana ushoga na usagaji. Kwa kuwa watu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jicho la tatu: Tujiandae kuona watoto wa shule wakiwamo walio chini ya umri wa miaka 18 wakitumika kama wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kuiwezesha Zanzibar kujenga shule 23 za ghorofa

    Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
  18. JamiiForums Tanzania Jamani hivi walimu wakuu shule za sekondari huwaga wanapata muda wa kusoma barua zilizo tumwa kupitia S. L. P?

    Au nisipoteze muda wangu? Ushauri wenu tafadhali
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mjadala wa Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji, Uelewa na Ufaulu wa Shule za Musoma Vijijini

    MATOKEO YA MJADALA WA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI, UELEWA NA UFAULU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Mgeni Rasmi: Ripoti & Zawadi za Ufaulu Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka alikabidhiwa Ripoti ya Matokeo ya Mjadala huo. Vilevile, Mkuu huyo wa Wilaya alikabidhi zawadi za ufaulu...
  20. JamiiForums Tanzania Waliosoma shule za kata na kuumbuliwa na kiingereza tukutane hapa

    Nilipokuwa form One baadhi ya maneno nilikuwa naya-assume (najitengenezea) maana zake katika fikra zangu kwa sababu kiingereza lilikuwa hakipandi. Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya kiingereza na maana nilizokuwa nilizoziunda kwa Kiswahili. Let - Lete. Pudenda - mpira unadunda. Cook - kuku. Sex...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…