shule

  1. astalavista

    Ujumbe MUHIMU kwa wamiliki wa shule.

    Nafahamu uwepo wa mapumziko mafupi kwa wanafunzi wenu, hivyo basi nimeona nikiwapa namna bora ya kufikisha taarifa kwa wazazi na walezi kwa haraka na ufanisi mno. Suluhisho ni mfumo wa BULK SMS ambao utakurahisishia kutuma ukumbusho wa ada kwa wazazi wote hata wakiwa elfu 50 kwa dakika Moja...
  2. one one chief

    Wajibu wa Wadhibiti Ubora katika Shule: Je, Tunakagua Kilicho Muhimu au Kilicho Rahisi?

    Katika mfumo wa elimu, wadhibiti ubora wa shule wana jukumu muhimu la kuhakikisha kuwa utoaji wa elimu unazingatia viwango vilivyowekwa. Kimsingi, wanapaswa kuwa walinzi wa ubora wa elimu, wakihakikisha kuwa mwanafunzi anapata maarifa, stadi, na maadili yanayokusudiwa. Hata hivyo, kwa muda mrefu...
  3. Roving Journalist

    Ofisi ya DED kuchunguza madai ya Walimu kukwepa majukumu ya kufundisha katika Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga)

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi Kishangazi, iliyopo Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shagayu ni Mwalimu Mmoja tu ndiyo anafika shuleni...
  4. A

    KERO Shule ya Secondary KIUTU haina Maabara, Wanafunzi wanafundishwa kwa nadharia tu

    Mkoani Arusha, Shule ya Secondary KIUTU haina maabara mpaka sasa Machi 2026, form four wanatarajia kuhitimu na shule haina maabara. Haina Walimu wa kutosha, wapo Walimu 10 wa 11 ni Mkuu wa Shule! Hii imekuwa changamoto kubwa sana na ukiangalia form 3 wapo wanafunzi 315, hapo bado form four...
  5. upupu255

    Kuanzia Januari 01, 2026 Marekani imesitisha utoaji wa baadhi ya viza kwa raia wa Tanzania

    Kwa mujibu wa Tamko la Rais Na. 10998, kuanzia tarehe 1 Januari 2026, Marekani imesitisha utoaji wa Viza za kutembelea zisizo za uhamiaji zilizo katika Makundi B-1/B-2, Viza za wanafunzi na programu za mabadilishano zilizo katika Makundi F, M, na J, pamoja na Viza zote za uhamiaji, kwa raia wa...
  6. A

    KERO Shule ya Msingi Kamara iliyopo Mungonya, Halmashauri ya Kigoma, walimu wamewageuza wanafunzi vibarua wao

    Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu majumbani kwao wale wanaoishi kwenye nyumba za kota za shule. Nyakati nyingine wanafunzi wanarudishwa...
  7. A

    KERO Wazazi tunalazimishwa kuchangia chakula kila siku katika Shule ya Sekondari Ipala

    Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya mboga. Mahindi yameisha wanafunzi wametangaziwa kwenda na 1400/= kila siku kwa ajili ya chakula...
  8. F

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
  9. H

    Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  10. A

    KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  11. Blasio Kachuchu

    Vodacom Tanzania Foundation Yajenga Matundu 10 ya Vyoo Shule ya Msingi Mkata Handeni

    Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
  12. Mafyangula

    Mwigulu: Zipo shule takribani 6000 ambazo zimejengwa kwa muundo wa kuazia shule ya awali hadi Sekondari

    Waziri Mkuu Mwigule Nchemba amesema hadi sasa zipo shule zilizonyengwa kwa muundo katika eneo moja wa kuanzia shule ya awali hadi sekondari. Ameyasema hayo wakati akifunga Mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (Mkumbi II) jijini Dodoma.
  13. cocastic

    Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

    Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo. Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji. Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
  14. Mohamed Said

    Ingekuwaje kama Iran ndiyo imeanzisha vita kwa kuwaua viongozi wa Israel na kupiga mabomu shule ya chekechea?

    https://youtu.be/Gw4tDqeT92g
  15. A

    KERO Tume ya Utumishi wa Walimu isaidie Walimu wa somo jipya la Business Studies kwa Shule za Sekondari

    Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari. Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
  16. A

    KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili. Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
  17. Damaso

    Diwani Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa shule ya msingi Ulonge

    Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
  18. M

    Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
  19. youngkato

    Soma kwa Bidii, Maliza shule maisha yakuchanganye: Ukweli Ambao Wengi Hawakuusema Wazi

    Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa. Kwa Nini Hili Ni Muhimu Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu: kuwa mtoto mwema kufuata sheria kupata alama nzuri kubaki salama kusubiri “baadaye” Halafu “baadaye” ilipofika, ilionekana...
  20. A

    KERO Shule ya Msingi IDETE iliyopo Wilaya ya KILOLO - Iringa ipo katika hali mbaya sana

    Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha. Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
Back
Top Bottom