Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 890 Reaction score 3,091 May 1, 2026 #1 Yaani mfano kwenye maandiko au hadithi mbalimbali Kuna waovu walibadilika wakawa mashujaa Je, inawezekana Kwa sasa mtu muuaji kuwa shujaa namaanisha ukombozi.?
Yaani mfano kwenye maandiko au hadithi mbalimbali Kuna waovu walibadilika wakawa mashujaa Je, inawezekana Kwa sasa mtu muuaji kuwa shujaa namaanisha ukombozi.?
Martrix_32 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2025 Posts 1,025 Reaction score 2,051 May 1, 2026 #2 Inategemea umeua nani !
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,343 Reaction score 859,919 May 1, 2026 #3 Hapana labda lama kaua mende, papasi kunguni na viroboto
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,561 Reaction score 16,114 May 1, 2026 #4 Kuna series inaitwa DAY OF THE JACKAL yan muuaji anapendwa kuliko steringi