Safari yangu ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha kazi yangu Bukoba imeanza asubuhi ya Februari 21, 2026 kwa ndege TC 101, mali ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kasheshe imeanzia uwanja wa Ndege wa Bukoba, hauna umeme.
Baada ya kuwekwa foleni kwa masaa 3, baadae ilibidi wahudumu...
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya...
Wakuu,
Hivi nini kinaendelea kwnye hili shirika la Air India? Hili ni tukio la 3 lisilo la kawaida linaripotiwa kutokea kwenye ndege za Shirika hili
===
Ndege ya Air India (AI‑159) iliyokuwa ikitoka Ahmedabad kuelekea London imeahirisha safari hiyo ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya ajali...
Kwa mara ya kwanza, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awali kabla ya kiwanja hicho kuanza rasmi kuhudumia Watanzania.
Akizungumza baada ya kuipokea ndege hiyo, Waziri wa Ujenzi...
Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga
La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje?
Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
El Al iliripoti kuibuka kwa asilimia 19 katika faida ya robo ya kwanza, na kufikia dola milioni 96 licha ya mashirika ya ndege ya kigeni kupunguza safari za Israeli. Mapato yalipanda 5% hadi $774 milioni, wakati sehemu yake ya soko ilishuka hadi 44% kutoka 62% mwaka uliopita.
Mkurugenzi...
Hivi tunapofuatilia Report ya CAG. Pamoja na hasara zinazoletwa na serikali. Mfano tu, kwenye shirika la ndege, hatma ya hasara hizo ni nini Au ni kumkaba mwananchi na je hatma ya hiyo report ni nini maana haturudishiwi mrejesho ikiwa kosa limesahihishwa au Sheria imechukuliwa. Au ni vile...
Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege
Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea kuimarishwa kwa kuongeza idadi ya ndege hadi kufikia 16 na idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga...
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa ndege yetu ya Air Bus Airbus A220-300 ambayo imekuwa na hitilafu kwenye Injini zake.
Sababu hii...
Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema kuwa Russia ilihusika.
Putin alisema Jumamosi kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Russia ilikuwa hai...
Wakuu,
Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana.
Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia
Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa uwanja wa Mwalimu Nyerere. Fikiria ndege ilipaswa kuondoka saa 2 usiku, wakasema itakawia mpaka saa 4...
Salam wadau.
Naomba kufaham Shirika la ndege lenye bei nafuu kwa trip ya Dar es Salaam kwenda Dubai. Shirika hilo likiwa na huduma ya VISA itapendeza zaidi.
Naomba kuwasilisha wadau
Shirika la Ndege la Egypt,yaani EgyptAir limemzawadia Kichanga aliyezaliwa ndani ya ndege wakati ndege hiyo ikiwa Safarini Tiketi ya maisha.
Mwanamke wa Yemen alishikwa na uChungu ndani ya ndege na kujikuta akijifungua Kwa kusaidiwa na daktari ambae Kwa bahati nzuri alikuwa abiria.
Baada ya...
Baadhi ya wateja wa Air Tanzania wamelalamika mtandaoni kuwa ndege yao ya Air Tanzania iliyokuwa iwapeleke Dar es Salaam ilichelewa jambo lililosababisha wafike Dar kwa kuchelewa.
Air Tanzania iliwatafutia vyumba vya kufikia ambavyo wateja hao wamelalamika kuwa vilikuwa na hadhi ya chini sana...
Salaam, Shalom!
Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini,
Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini,
Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za kutosha zilizonunuliwa Kwa Kodi zetu, ndege hizo mara kadhaa zimedaiwa kukamatwa kisa kuvunja baadhi ya...
Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja.
“Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri...
Kumekucha.
Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya.
Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani.
======
Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya.
Ikabidi nisome fursa zilizopo...
MABORESHO SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)
Shirika la ndege tanzania (ATCL)
Ni shirika la kiserikali linalojihusisha na usafirishaji kwa wa mizigo na watu kwa njia ya anga lililopo chini ya mmiliki wa Ndege za serikali TGFA
Toka shirika hili lifufuliwe chini ya uongozi wa hayati John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.