Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu.
Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya.
Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
Hapo zamani nauli za ndege hasa kwa upande wa fast jet zilikuwa nafuu sana hadi mnyinge kama mimi nikapanda kama mara tatu hivi.
Lakini alipoingia hayati magufuli akawafukuza fast jet nchini.
Akanunua ndege za kutisha lakini mpaka anafariki nauli hazishikiki.
Kwanini hayati Magufuli...
Diamond launches own airline
Video: courtesy of SimuliziNaSauti
N.B
Jambo la kufariji mtanzania kuanzisha shirika la ndege. Ni matumaini mamlaka husika zitaweka mazingira mazuri shirika hili liweze kufanya biashara, kutoa ajira na kulipa kodi .
Pia wawekezaji wa kiTanzania wanaothubutu...
Habari,
Wadau naomba kuuliza hivi hawa Wakala wa Viwanja vya Ndege - TAA wameshaita watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili?
Maana tokea nilivyoomba hamna updte yoyote ile mwezi wa pili sasa huu
Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia.
Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana.
Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo ya nje jambo lililopelekea Tanzania kutofaidika na Sera Bora ya Mambo ya Nje, Sasa Mabadiliko ya...
Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne.
Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu.
Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana.
Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
====
Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4
August 20, 2021
Mkurugenzi Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.