shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Shinyanga: Watumishi 4 Wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Walioshtakiwa ni Abel J. Kitinya (Mlinzi wa Mahakama ya Mwanzo Shinyanga), Janeth W. Lugano (Mwinjilisti), Mariam W. Kiloba (Mfanyabiashara) na Magreth W. Kiloba (Mfanyabiashara). Mshtakiwa Abel Joseph Kitinya amesomewa Mashtaka ya kujihusisha na vitendo vya Rushwa na Kughushi Nyaraka...
  2. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Askari watuhumiwa kuvujisha siri za Wananchi wanaotoa taarifa za wizi wa mafuta ya SGR

    Imebainika kuwa baadhi ya askari wa Shinyanga wanavujisha taarifa za siri zinazotolewa na wananchi juu ya wahalifu wakiwemo wezi wa mafuta katika ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Wakizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Janeth Magomi baadhi ya Wananchi wamedai kuwa wizi...
  3. S

    Rais Samia kama ikikupendeza mteue Thobias Mwilapwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga

    Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa. Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
  4. C

    Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

    Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake. Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
  5. J

    Ramadhani Mlao aunguruma mkoani Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM

    Jumatano, Jan 25, 2023. Shinyanga mjini, Shinyanga. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Shinyanga mjini mkoani Shinyanga. Katika ziara hiyo ya...
  6. CIA mgumu

    Hodii Shinyanga

    Wenyeji wa mji huu nipo njiani kufika naomba kujua ni sehemu gani nzuri kulala na kushangaa shangaa mida ya jioni hivi, maeneo yasiyo na kilevi wala bar
  7. F

    Tetesi: DED Iramba ashikiliwa Ushetu Shinyanga kwa ubadhirifu wa Milioni Tsh. 180 alipokuwa DED

    Habari kutoka huku Mkoani Shinyanga, halmashauri ya Ushetu, ni kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Iramba- Singida, anashikiliwa na Polisi. Mkurugenzi Mtendaji huyo Michael Matomola anashikiliwa kwa ubadhirifu wa Milioni 180, fedha za halmashauri ya Ushetu iliyopo hapa Shinyanga. Amri ya...
  8. peno hasegawa

    Shinyanga: Afariki kwa kupigwa risasi na wanaodaiwa kuwa majambazi

    Richard Nzumbe mkazi wa mtaa wa Butengwa Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia akidaiwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakati anaingia nyumbani kwake. Tukio hilo limetokea majira ya saa 1 usiku wakati akitoka kazini kwake alipofika nyumbani kwake ndipo alishambuliwa na watu...
  9. K

    Poleni wote walioguswa na ajali ya Moto iliyounguza bweni na wanafunzi watatu Shinyanga Misheni ya Buhangija

    Matamko makali yanayotolewa baada ya matukio hatari kutokea zinahuzunisha wananchi. Uchakavu wa mabweni, kuweka Vidhibiti moto kwa majengo wanapoishi hao watoto wasiojiweza, mwangalizi wa zamu wa watoto hao, nk ni ishara tosha kuwa viongozi wa ngazi zote wanaongoza kwa mazoea. Ajali kama hii...
  10. Chachu Ombara

    Shinyanga: Bweni la Shule ya Msingi Buhangija lateketea kwa moto na kuua wanafunzi watatu

    Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Buhangija na kituo cha elimu maalumu Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamepoteza maisha, baada ya bweni la wasichana walilokuwa wamelala kuungua moto usiku wa kuamkia leo huku wengine wakinusurika baada ya kuokolewa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  11. K

    Tumsaidie Rais Samia Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, ametoa mabilioni kukarabati na kujenga shule ila watendaji wanamuangusha

    Mama Samia ametoa mabilioni ya shilingi kujenga na kukarabati mashule kote nchini lakini watendaji wanamwangusha. Kuna shule moja inaitwa SM Itilima Wilaya ya Kishapu Km 30 kutoka Shinyanga mjini ni aibu ukiiona na sijui mbunge au mkuu wa mkoa anijua majengo ya shule yamebomoka; nyumba za...
  12. luangalila

    Uongozi wa Halmashauri ya Shinyanga kijijini angalieni kwa makini mnada unaofanyika soko la Tinde

    Wadau kwema ! Naleta maoni yangu kwa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga vijijini, kuna soko la mnada pale maeneo ya Tinde huwa ni maarufu sanaa kwa biashara mbali mbali hadi vitoweo Nilifika ilo eneo leo kwa mara ya kwanza lkn kiukweli ni hatarishi sanaa uchomaji wa nyama Mbuzi unaofanyika...
  13. Mfikirishi

    DOKEZO Uchafuzi Wa Mazingira: Mgodi wa almasi Shinyanga

    Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji. Madhara ya kiafya hayajaripotiwa lakini wananchi wenye taharuki washaanza kuyakimbia makazi yao. Taarifa...
  14. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Mwalimu wa Madrasa atuhumiwa kulawiti wanafunzi 10

    Mwalimu wa Madrasa katika msikiti wa Mohamed Shunu uliopo Mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama, aliyefahamika kwa jina moja la Faidhi anashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi 10 wa madrasa kwa nyakati tofauti kwa kuwarubuni kuwapa Sh 1000 na Sh 500...
  15. luangalila

    Kongole kwa uongozi wa mkoa Shinyanga kwa kuwafurusha madada poa

    Ni majumaa kadhaa nyuma nileta Uzi wa kuelezea jinsi biashara ya kuuza miili kwa wadada inavyofanywa hapa Shinyanga ktk eneo la Relini. Nilikuja Shy na kukaa kama wiki 1 tu hivi awali, then wiki hii nimerejea tena kikazi vile vile, nikapita eneo lile ambalo ni kuna njia fupi ya kutokea kata ya...
  16. JanguKamaJangu

    Sungusungu wa Shinyanga wapewa jukumu kuzuia ndoa za wahitimu la Darasa la 7

    Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya Shinyanga na Wilaya ya Shinyanga limepewa jukumu la kuhakikisha hakuna ndoa ya utotoni ya mwanafunzi yeyote aliyehitimu darasa la saba mwaka huu. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya...
  17. T

    Mazishi ya mfanyabiashara na mwekezaji Hilal Hamad maarufu 'Phantom' yafanyika Mjini Shinyanga

    Mazishi ya aliyekuwa Mfanyabiashara na mwekezaji mzawa wa mkoa wa Shinyanga Hillal Hamad maarufu kwa jina la Phantom, yamefanyika leo Jumanne tarehe 04,10,2022, kwenye makaburi ya Waislamu yaliyopo Nguzonane katika Manispaa ya Shinyanga. Mazishi ya Mwekezaji huyo ambaye pia alikuwa ni kada wa...
  18. luangalila

    Umalaya Shinyanga ni hatari

    Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo tukatembelea eneo linaitwa RELINI. Hapo bana vijana wale wanaoendesha baiskeli au almaarufu kama Boda kwa hapa...
  19. Idugunde

    Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
Back
Top Bottom