shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Kahama Manispaa kuna maendeleo kuzidi Shinyanga manispaa?

    Kahama ni mji ambao ni kawaida kukuta mtu anapush gari ya milioni 500, Lakini je, Kahama manispaa imeipiku shinyanga manispaa?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji Shinyanga wanatuzungusha kutoa Passport na hakuna majibu ya kueleweka

    Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda sikuhudumiwa hadi nahisi kuchoka. Tunaomba mzitaarifu mamlaka za juu maana haya mambo yanakita...
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shinyanga: Wanafunzi walia na daraja la mpito la Butengwa lililowekwa na Mkandarasi ni hatarishi kwa usalama wao

    Wanafunzi wa maeneo ya Butengwa waomba Mkandarasi akamilishe ujenzi wa daraja mapema kwani lililopo ambalo ni la mpito ni hatarishi si kwao tu bali kwa makundi mengine pia. Chanzo Kusaga TV
  5. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa afya matatani tuhuma za rushwa, Shinyanga

    Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi. Hatua hiyo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded DC Mtatiro: Veta Shinyanga ina nafasi 179 za bweni lakini Wanafunzi wapo 229, nimeelekeza darasa moja liwe bweni

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI UTANGULIZI Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo. Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Responded Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR

    Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza)...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katambi: Samia ameondoa 'Omba Omba' Mtaani, achana na wachawi wasiokutakia mema

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Mboni Mhita: Shinyanga ipo salama kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Oktoba 29 mwaka huu, mkuu wa mkoa wa Shinyanga ameahidi uwepo wa usalama kwa kila mtu kwenda kutimiza haki yake ya kupiga kura kwa uhuru na amani..
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Shinyanga linadaiwa kuwakamata viongozi wa CHADEMA waliokuwa wakifanya usafi kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami

    Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata viongozi wa Chadema waliokuwa kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami wakifanya usafi huko Ukenyenge. Walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kituo cha ukenyenge ni hawa wafuatao; 1. Jackson Mnyawami Mnyawami Katibu wa kanda ya serengeti 2...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya Mgombea Mwenza Balozi Emmanuel Nchimbi Kishapu – Shinyanga

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KISHAPU – SHINYANGA Mgombea Mwenza wa Nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi, akiwasili Kishapu mkoani Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, ambapo alipokelewa kwa shangwe na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shinyanga: Kuna Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi wanatengeneza mazingira ya rushwa waziwazi

    Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi. Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Shinyanga: Mpina tunakudhamini tunajua utatusaidia

    Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu. Wamesema changamoto zinazowakabili ni...
  14. Machimbo Explorer

    JamiiForums Tanzania Citizens Recognize And Appreciate Government Efforts In The Rescue Operation At Nyandolwa Mine In Shinyanga

    Residents of Shinyanga Region have recognized and expressed gratitude for the Government’s efforts, through its security organs and mining experts, in the ongoing rescue operation for miners affected by the Nyandolwa mine accident. So far, seven (7) miners have been recovered. Four were rescued...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aumizwa Moyo Na kusikitishwa sana na vifo 25 Vya Watu waliofukiwa na Kifusi Mgodini Mkoani Shinyanga

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapendeni sana. Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa wateketeza maduka eneo la Mnara wa Voda Shinyanga

    Moto mkubwa ambao bado haujajulikana chanzo chake unateketeza maduka yaliyopo eneo maarufu kama Mnara wa Voda, Shinyanga. Zoezi la kuuzima moto huu ulioanza majira ya saa mbili usiku kwa mujibu wa mashuhuda, linaendelea kufanyika na jeshi la zimamoto huku mali zikiendelea kuokolewa.
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji 25 wafukiwa Na Kifusi Baada ya Mgodi Kutitia Shinyanga

    Jumla ya wachimbaji wadogo 25 kutoka katika mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapa Kazi, uliopo kijiji cha Mwongozo Halmashauri ya Shinyanga, wamefukiwa na kifusi baada ya mgodi kutitia. shughuli ya uokoaji imefanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rc Shinyanga: Tumepokea shilingi bilioni 588 kila kona barabara zinajengwa chini ya Rais Samia

    == Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua Ngunga (MW 150) kwa shilingi bilioni 323, ukarabati wa Kiwanja cha Ndege Ibadakuli (km 2.2) na jengo la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhita: Shinyanga imezalisha Tani 43 za madini safi

    Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4; kuongezeka kwa fedha za kigeni kutoka Dola za Marekani milioni 44.33 mwaka 2020 hadi milioni 191.15 mwaka...
  20. M

    JamiiForums Tanzania RC Mboni Mhita: MKoa wa Shinyanga Uzalishaji wa mazao umeongezeka hadi Tani 1,500,000 kutoka Tani 900,000

    Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu. Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
Back
Top Bottom