The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.
Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani.
Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika?
Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households.
The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
Imepita muda huyu bwan mdogo hajinipea chchote wala kuchanagia chochot yey Yuko busy na kaz na maujenzi yake ila Leo bin fuu tumejikuta tuko mkoa mmoja na yye Yuko likizo hapn mkoni .... Kwamba ameamua kuwepo hap mkoani nilipo ili akamiloshe miradi yake
Bas nikiwa kanisani nikipata mahubiri...
Kondakta wa usafiri wa daladala wametoa malalamiko yao kutokana na kuadimika kwa sarafu ya shilingi 100 na 200 hali inayowapa ugumu kurudisha chenchi kwa abiria, wakilazimika kurudisha 500 badala ya 600.
Gasper Massawe, kondakta wa daladala za Makumbusho amesema kutokana na kuadimika kwa sarafu...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
Ikiwa ni mara ya pili mfululizo, mwanariadha wa Tanzania Gabriel Geay, leo tena kashika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Marathon (42km) za Daegu, Korea kusini. Katumia muda wa masaa 2:08:08. Huu ni ushindi mkubwa kwa kijana huyu na Tanzania kwa ujumla. Cha kufurahisha ni kuwa kijana atawekewa...
Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.
Inasomeka: Bank statement enquiry commission fee
Je, hii ni haki?
Au...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) imetumia kiasi cha bilioni 67 kujenga Barabara na Masoko ili kuwahudumia wananchi wa Mwanza...
Benki ya CRDB imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 125.4 na Dola za Marekani milioni 32.3 kupitia mauzo ya hatifungani yake ya CRDB Al-Barakah Sukuk, hatua iliyovuka malengo ya awali kwa zaidi ya asilimia 400.
Uuzaji huo uliofanyika kwa siku 40 kuanzia Agosti 9 hadi Septemba 19...
Wakuu I salute you kinsmen
Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full
Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house.
Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
Kila siku familia nyingi hukabiliana na changamoto:
Maji ya bomba yenye vumbi, harufu na metali nzito
Gharama kubwa za maji ya chupa kwa ajili ya kunywa, mbinu duni za kusafisha maji kama vile kuchemsha maji, kutumia maji ya bomba nk ambazo zinagharama. inayojirudia, unapoteza muda wa...
Kwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti kwamba sisi iwe juu kwao kidogo?
Ndugu Wananchi, katika kipindi cha uongozi wa Rais wa Awamu ya Sita, Sekta ya Utunzaji wa Mazingira, Misitu na Vyanzo vya Maji imewezesha Mkoa wa Katavi kuingia kwenye biashara ya kaboni katika Wilaya ya Tanganyika, kupata mapato ya Shilingi 25.29 bilioni hadi Juni 2025,
Fedha hizo zikitumika...
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
Sekta |Wakala
Kipengele
Urefu | Idadi
Gharama (Tsh)
Hali | Tarehe
TANROADS
Mtandao wa barabara
1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35)
-
-
Barabara Kimkakati
Mpanda–Tabora
352 km
273,829,309,854.29
Imekamilika
Barabara Kimkakati
Mpanda–Sitalike
35.9 km
38,042,000,000
Imekamilika...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema kuwa hadi kufikia mwaka 2025 chini ya Rais Samia, Dhahabu zenye uzito wa gramu 1,301,842.81 zenye thamani ya shilingi bilioni 134.78 zimeuzwa kupitia soko la madini la Mkoa, ambapo shilingi bilioni 9.43 zimekusanywa...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) imesaini mikataba minne ya uwekezaji wa utalii kupitia utaratibu wa Uwekezaji Mahiri (Swica) na kampuni ya Kitanzania ya Uhusiano International ICT Limited.
Mikataba hiyo inatarajiwa kuingiza mapato ya Dola za Marekani milioni...
Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu.
Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.