RESOLVED KERO Shida Sugu ya Maji Kimara Michungwani

RESOLVED KERO Shida Sugu ya Maji Kimara Michungwani

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Watu wa Kimara Michungwani mtaa wa Mengeni tunapata sana shida ya maji ingawa mvua zinanyesha lakini tunakaa week 3 hadi mwezi bila maji na tunaona hali hii haitatuliwi maana ni muda mrefu sasa.

Inabidi kununua maji kwenye magari ambayo tunauziwa kwa bei kubwa na sio kila mwananchi anauwezo wa kununua maji ya kwenye magari..

Soma Pia: Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

Hivyo tunaomba mamlaka husika watutatulie shida hii

Pia soma ~ DAWASSA: Kimara Stop Over wameanza kupata maji baada ya maboresho ya miundombinu
 
Watu wa Kimara Michungwani mtaa wa Mengeni tunapata sana shida ya maji ingawa mvua zinanyesha lakini tunakaa week 3 hadi mwezi bila maji na tunaona hali hii haitatuliwi maana ni muda mrefu sasa.

Inabidi kununua maji kwenye magari ambayo tunauziwa kwa bei kubwa na sio kila mwananchi anauwezo wa kununua maji ya kwenye magari..

Soma Pia: Nini kimetokea DAWASA? Maji yamepotelea wapi? Kuna matatizo gani?

Hivyo tunaomba mamlaka husika watutatulie shida hii
Mpaka leo hii maji hatujapata, na tukiwasiliana na DAWASA hakuna majibu sahihi. Tunaomba waziri wa maji uingilie swala hili.
 
Halafu kuna wapuuzi uwa wakinywa pombe zao wanailinganisha bongo eti na USA au na Europe, wenzenu hizi shida za kisenge waliachana nazo toka miaka kama 3000 iliopita. Eti Ka SGR kamoja kafupi ndio kanawafanya kusema bongo kama ulaya kumbe kuna mamilioni ya shule hawana madawati, vyoo na hata walimu. Sasa hii shida ya maji tena jijini Daslama, na waziri wa maji yupo ananenepeana tu na wake wawili. Bongo nyoko sana.
 
Back
Top Bottom